Nimeichukia sana CHADEMA ya Lissu

Nimeichukia sana CHADEMA ya Lissu

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Jinsi ya uchaguzi wa Chadema ulivyoendeshwa kwa propaganda na kumbamiza Mwenyekiti wa zamani.
Hawa nimewachukia kweli kweli ktk siasa
1. Lema
2. Lissu
3. Heche
Sikutegemea ktk siasa za ndani ya chama kutumia njia ile ya uzushi kwa kila aliekuwa anampinga LISUU na team yake.

Naomba mwaka huu wasipate hata mhunge 1 ili iwe funzo ktk siasa zao
 
Sasa wewe CCM utampendaje lisu hujishangai?
 
Chama kimetengeneza makundi ya ndani.
Hawapendani na hawashirikiani. Ngumu kutoboa
 
Jinsi ya uchaguzi wa Chadema ulivyoendeshwa kwa propaganda na kumbamiza Mwenyekiti wa zamani.
Hawa nimewachukia kweli kweli ktk siasa
1. Lema
2. Lissu
3. Heche
Sikutegemea ktk siasa za ndani ya chama kutumia njia ile ya uzushi kwa kila aliekuwa anampinga LISUU na team yake.

Naomba mwaka huu wasipate hata mhunge 1 ili iwe funzo ktk siasa zao
Wewe Chawa wa mama utaanzaje mpenda Lissu.
 
Maralia tunajua wewe ni ccm sa tangu link ukaipenda cdm acha uzushi bhana
 
Jinsi ya uchaguzi wa Chadema ulivyoendeshwa kwa propaganda na kumbamiza Mwenyekiti wa zamani.
Hawa nimewachukia kweli kweli ktk siasa
1. Lema
2. Lissu
3. Heche
Sikutegemea ktk siasa za ndani ya chama kutumia njia ile ya uzushi kwa kila aliekuwa anampinga LISUU na team yake.

Naomba mwaka huu wasipate hata mhunge 1 ili iwe funzo ktk siasa zao
Hawapati mbunge kenge hawa!
 
Ghadhabu yako dhidi ya cdm iko wazi, na ushahidi ni nyuzi mbalimbali unazoazisha kuhusu cdm ukijiliza. Sio ww tu mwenye sonona, bali wako Lusungo Tlaatlaah TrueVoter
 
gentleman,
kuondoa msongo wa mawazo unaokuzonga,

sikiliza wimbo wa CCM MBELE KWA MBELE, na tatizo lako litapona na kwisha kabisa.

huna haja kunishukuru baade.
Asante. :NoGodNo:
 
Jinsi ya uchaguzi wa Chadema ulivyoendeshwa kwa propaganda na kumbamiza Mwenyekiti wa zamani.
Hawa nimewachukia kweli kweli ktk siasa
1. Lema
2. Lissu
3. Heche
Sikutegemea ktk siasa za ndani ya chama kutumia njia ile ya uzushi kwa kila aliekuwa anampinga LISUU na team yake.

Naomba mwaka huu wasipate hata mhunge 1 ili iwe funzo ktk siasa zao
Na uvimbe upasuke
 
Utakua kwenye mfumo ovu ,jangili, na kifisadi kama waichukia chadema juu ya miamba ulioitaja, pumbavu
 
Jinsi ya uchaguzi wa Chadema ulivyoendeshwa kwa propaganda na kumbamiza Mwenyekiti wa zamani.
Hawa nimewachukia kweli kweli ktk siasa
1. Lema
2. Lissu
3. Heche
Sikutegemea ktk siasa za ndani ya chama kutumia njia ile ya uzushi kwa kila aliekuwa anampinga LISUU na team yake.

Naomba mwaka huu wasipate hata mhunge 1 ili iwe funzo ktk siasa zao
Huchaguzi hamna we wa wapi ? Maana nimekuona mara nyingi ukijipisha hapa jf, kwa kuandika neno moja moja sasa leo umewashwa na nini?
 
Back
Top Bottom