Nimeichukia sana CHADEMA ya Lissu

Nimeichukia sana CHADEMA ya Lissu

Jinsi ya uchaguzi wa Chadema ulivyoendeshwa kwa propaganda na kumbamiza Mwenyekiti wa zamani.
Hawa nimewachukia kweli kweli ktk siasa
1. Lema
2. Lissu
3. Heche
Sikutegemea ktk siasa za ndani ya chama kutumia njia ile ya uzushi kwa kila aliekuwa anampinga LISUU na team yake.

Naomba mwaka huu wasipate hata mhunge 1 ili iwe funzo ktk siasa zao
Msen.... ww
 
gentleman,
kuondoa msongo wa mawazo unaokuzonga,

sikiliza wimbo wa CCM MBELE KWA MBELE, na tatizo lako litapona na kwisha kabisa.

huna haja kunishukuru baade.
Asante. :NoGodNo:
Ila huu wimbo kile kipengele cha, Wacha waisomee namba eeeee, hata ungepigwa kwenye mkutano wa uchaguzi cdm lazima pangebamba. Komba alikuwa mtunzi hatari.
 
Jinsi ya uchaguzi wa Chadema ulivyoendeshwa kwa propaganda na kumbamiza Mwenyekiti wa zamani.
Hawa nimewachukia kweli kweli ktk siasa
1. Lema
2. Lissu
3. Heche
Sikutegemea ktk siasa za ndani ya chama kutumia njia ile ya uzushi kwa kila aliekuwa anampinga LISUU na team yake.

Naomba mwaka huu wasipate hata mhunge 1 ili iwe funzo ktk siasa zao
Hao mimi ndio vipenzi vyangu na nawaombea M/Mungu awalinde na awaongeongezee hali ya ushindi na kila walipo manyang'au yawe yanatetemeka kwa hofu kuu
 
Lissu akianza kuona ma-ccm yana msifia, ajitathmini. Kwa sasa Lissu aendelee kukaza hapo hapo ikiwezekana Oktoba 2025 aje na makombora mengine ya moto kwa ajili ya kumtikisa mgombea urais wa ccm mpaka ma-ccm maji waite mma.
 
Hii imemfanya Lissu apoteze elite group amebaki na vijana wahuni wahuni unaowaona wanamshabikia humu. Nilimpendaga sana Yule jamaa Ila kwa namna alivyobehave kwenye kampeni nimemdharau kupita kiasi!! Ni mshenzi na hayawani sana.
Inaelekea moto anaotoa Lissu na hao vijana wauni si moto wa kawaida. Alafu hiyo ni trilera moto wenyewe utaanza mwezi wa tatu. Huo moto hautawaacha manyang'au na wezi wa rasilimali zetu salama
 
Kama mliweza kumtukana mwenyekiti wenu wa miaka 21 namna ile, hakuna aliyesalama na ndimi zenu.
Sikia , kwa nini maccm mlikua mnafutili yasio wahusu maana mpaka unaongea ya moyoni ulishiriki fuatilia , sasa kaa kwa kutulia mwaka huu jua kwanza hakuna uchaguzi .

Pili kimbia mara moja nyumbani kwenu ita watu wa Mungu kuondoa laana ya ukoo juu yako , ukitaka pia nitakuja japo sio mchungaji, Askofu ,mwalim , ila Mungu wangu mwaminifu sana kwangu nami pia ,hutaki shauri zako
 
Chama kimetengeneza makundi ya ndani.
Hawapendani na hawashirikiani. Ngumu kutoboa
Chsma kikubwa hakikosi makundi,ndio siasa za kidemokrasia ndani ya chama.
Lakini chama hai kinaheshimu mawazo ya kila mwanachama na kuyajadiri kwenye vikao rasmi ili kupata muafaka.
 
Inaelekea moto anaotoa Lissu na hao vijana wauni si moto wa kawaida. Alafu hiyo ni trilera moto wenyewe utaanza mwezi wa tatu. Huo moto hautawaacha manyang'au na wezi wa rasilimali zetu salama
Kwa hii handwriting yako nawewe ni kisoda kama wenzio.
 
Jinsi ya uchaguzi wa Chadema ulivyoendeshwa kwa propaganda na kumbamiza Mwenyekiti wa zamani.
Hawa nimewachukia kweli kweli ktk siasa
1. Lema
2. Lissu
3. Heche
Sikutegemea ktk siasa za ndani ya chama kutumia njia ile ya uzushi kwa kila aliekuwa anampinga LISUU na team yake.

Naomba mwaka huu wasipate hata mhunge 1 ili iwe funzo ktk siasa zao

Mboma hakuna faida yoyote kupendwa na chawa punguani!!.

Kupendwa na chawa punguani ni laana!! Endelea kuwachukia, ningeshangaa sana chawa punguani uwapende watu wenye akili timamu. Ukiwapenda machawa punguani wenzako, inatosha sana.
 
Unateseka ukiwa wapi mjomba? Lissu hajaanza kutoa moto halisi tayari mmeshaanza kutepeta namana hii.
Kwahyo hapo umekumbatia malaya unakula raha zako unasubiri Lissu apeleke moto si ndio? Hizi mentality Za kitoto ndo zitamwangusha Lissu maana watu wanarndelea na starehe zao Za zinaa na mipira wanasubiri Lissu apeleke moto hahahaha 😂😂😂
 
Jinsi ya uchaguzi wa Chadema ulivyoendeshwa kwa propaganda na kumbamiza Mwenyekiti wa zamani.
Hawa nimewachukia kweli kweli ktk siasa
1. Lema
2. Lissu
3. Heche
Sikutegemea ktk siasa za ndani ya chama kutumia njia ile ya uzushi kwa kila aliekuwa anampinga LISUU na team yake.

Naomba mwaka huu wasipate hata mhunge 1 ili iwe funzo ktk siasa zao
Heche akajipendekeza eti kwenda kumsalimia "Mwenye Chama" Mzee Mtei akaishia kusalimiana na mtoto wa mwenye chama kwasababu Mwenye Chama alikuwa "kapumzika"! Daaadeki!!!
 
Heche aliongea kwa staha kidogo, the rest ilikuwa ujinga mwingi sana.
 
Jinsi ya uchaguzi wa Chadema ulivyoendeshwa kwa propaganda na kumbamiza Mwenyekiti wa zamani.
Hawa nimewachukia kweli kweli ktk siasa
1. Lema
2. Lissu
3. Heche
Sikutegemea ktk siasa za ndani ya chama kutumia njia ile ya uzushi kwa kila aliekuwa anampinga LISUU na team yake.

Naomba mwaka huu wasipate hata mhunge 1 ili iwe funzo ktk siasa zao
Kwa tume ya sasa ya uchaguzi kama wapinzani wataingia kwenye uchaguzi wasilielie hatutawasikiliza kamwe...
 
Unateseka ukiwa wapi mjomba? Lissu hajaanza kutoa moto halisi tayari mmeshaanza kutepeta namana hii.
Natamani moto uwashwe nchi nzima hasa kueleza umma nini kinachoitwa uchaguzi wakati washindi tayari wanajulikana
 
Wengi mliokosa akili kama wewe mnaona ni sonona lakini tabia Za kishenzi alizoonesha Lissu na wahuni wenzie akina Lema wakati wa kampeni kumefanya wenye akili wengi sana kuidharau CDM na Lissu!!

Namdharau Lissu kuliko kinyesi ni binadamu mshenzi sana.
Yaani uamuzi uliyofanya wa maana toka umezaliwa, ni hiyo kumdharau Lisu kama kinyesi. Kwa hilo nakupongeza😂
 
Heche akajipendekeza eti kwenda kumsalimia "Mwenye Chama" Mzee Mtei akaishia kusalimiana na mtoto wa mwenye chama kwasababu Mwenye Chama alikuwa "kapumzika"! Daaadeki!!!
Kuna ajabu gani kukuta mtu mwenye miaka zaidi ya 90 kampumzika? Tena si ajabu ukute hata hajui watu, wala hakumbuki kama ndio alikiasisi cdm.
 
Sikia , kwa nini maccm mlikua mnafutili yasio wahusu maana mpaka unaongea ya moyoni ulishiriki fuatilia , sasa kaa kwa kutulia mwaka huu jua kwanza hakuna uchaguzi .

Pili kimbia mara moja nyumbani kwenu ita watu wa Mungu kuondoa laana ya ukoo juu yako , ukitaka pia nitakuja japo sio mchungaji, Askofu ,mwalim , ila Mungu wangu mwaminifu sana kwangu nami pia ,hutaki shauri zako
Kenge mpaka atoke damu ndio aone kuwa kaumia. Narudia mnasetiwa ila mchange. Michango ya gari iko wapi?
 
Hoja Yako n
Jinsi ya uchaguzi wa Chadema ulivyoendeshwa kwa propaganda na kumbamiza Mwenyekiti wa zamani.
Hawa nimewachukia kweli kweli ktk siasa
1. Lema
2. Lissu
3. Heche
Sikutegemea ktk siasa za ndani ya chama kutumia njia ile ya uzushi kwa kila aliekuwa anampinga LISUU na team yake.

Naomba mwaka huu wasipate hata mhunge 1 ili iwe funzo ktk siasa zao
Hoja Yako ni ipi? Unachuki nao tu au wewe ni msukule wa Mbowe? Dua la kuku halimpati mwewe. Wameshinda na tutawapima kwa muda sahihi na uzuri huu ni mwaka wa uchaguzi.
 
Back
Top Bottom