Zakayomfupi
JF-Expert Member
- Mar 11, 2024
- 281
- 320
Chadomo chama siasa kilishakufa, Lissu anafanya jitihada kukigeuza chadomo kuwa kikundi cha mungiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laana ya ukoo wako inakusumbua sanaChadomo chama siasa kilishakufa, Lissu anafanya jitihada kukigeuza chadomo kuwa kikundi cha mungiki.
Kama mliweza kumtukana mwenyekiti wenu wa miaka 21 namna ile, hakuna aliyesalama na ndimi zenu.Laana ya ukoo wako inakusumbua sana
Mtu zoba jinga Kama wewe.Jinsi ya uchaguzi wa Chadema ulivyoendeshwa kwa propaganda na kumbamiza Mwenyekiti wa zamani.
Hawa nimewachukia kweli kweli ktk siasa
1. Lema
2. Lissu
3. Heche
Sikutegemea ktk siasa za ndani ya chama kutumia njia ile ya uzushi kwa kila aliekuwa anampinga LISUU na team yake.
Naomba mwaka huu wasipate hata mhunge 1 ili iwe funzo ktk siasa zao
ZAkayomfupi mtoza Kodi hafanani na weweKama mliweza kumtukana mwenyekiti wenu wa miaka 21 namna ile, hakuna aliyesalama na ndimi zenu.
Hatutaki wabunge wa kupewa,ndiyo maana hatutaki kushiriki uchaguzi,tunataka mabadiliko ya katiba ili tupate wabunge wa kuchaguliwa na wananchi hii ndiyo falsafa ya Viongozi wenye akili wa Chadema usiyowapendaJinsi ya uchaguzi wa Chadema ulivyoendeshwa kwa propaganda na kumbamiza Mwenyekiti wa zamani.
Hawa nimewachukia kweli kweli ktk siasa
1. Lema
2. Lissu
3. Heche
Sikutegemea ktk siasa za ndani ya chama kutumia njia ile ya uzushi kwa kila aliekuwa anampinga LISUU na team yake.
Naomba mwaka huu wasipate hata mhunge 1 ili iwe funzo ktk siasa zao
Wengi mliokosa akili kama wewe mnaona ni sonona lakini tabia Za kishenzi alizoonesha Lissu na wahuni wenzie akina Lema wakati wa kampeni kumefanya wenye akili wengi sana kuidharau CDM na Lissu!!
Hii imemfanya Lissu apoteze elite group amebaki na vijana wahuni wahuni unaowaona wanamshabikia humu. Nilimpendaga sana Yule jamaa Ila kwa namna alivyobehave kwenye kampeni nimemdharau kupita kiasi!! Ni mshenzi na hayawani sana.Lisu amepata uenyekiti lwa matusi na uzushi kwa Mbowe...hatoboi katu. Dhambi hiyo itamuandama tu
Kama inauma, chomoaJinsi ya uchaguzi wa Chadema ulivyoendeshwa kwa propaganda na kumbamiza Mwenyekiti wa zamani.
Hawa nimewachukia kweli kweli ktk siasa
1. Lema
2. Lissu
3. Heche
Sikutegemea ktk siasa za ndani ya chama kutumia njia ile ya uzushi kwa kila aliekuwa anampinga LISUU na team yake.
Naomba mwaka huu wasipate hata mhunge 1 ili iwe funzo ktk siasa zao
Umenena vyema hakika.Uzuri ni kwamba, hata uwachukie vipi, wewe siyo mtoa pumzi na Mungu hatokei kijijini kwako.
Lissu ana Chadema?Jinsi ya uchaguzi wa Chadema ulivyoendeshwa kwa propaganda na kumbamiza Mwenyekiti wa zamani.
Hawa nimewachukia kweli kweli ktk siasa
1. Lema
2. Lissu
3. Heche
Sikutegemea ktk siasa za ndani ya chama kutumia njia ile ya uzushi kwa kila aliekuwa anampinga LISUU na team yake.
Naomba mwaka huu wasipate hata mhunge 1 ili iwe funzo ktk siasa zao
Na Mimi nimekuchukia sana weweJinsi ya uchaguzi wa Chadema ulivyoendeshwa kwa propaganda na kumbamiza Mwenyekiti wa zamani.
Hawa nimewachukia kweli kweli ktk siasa
1. Lema
2. Lissu
3. Heche
Sikutegemea ktk siasa za ndani ya chama kutumia njia ile ya uzushi kwa kila aliekuwa anampinga LISUU na team yake.
Naomba mwaka huu wasipate hata mhunge 1 ili iwe funzo ktk siasa zao
Kumchukia tu haitoshi. Ungejitia kabisa kitanzi ili tuamini.Jinsi ya uchaguzi wa Chadema ulivyoendeshwa kwa propaganda na kumbamiza Mwenyekiti wa zamani.
Hawa nimewachukia kweli kweli ktk siasa
1. Lema
2. Lissu
3. Heche
Sikutegemea ktk siasa za ndani ya chama kutumia njia ile ya uzushi kwa kila aliekuwa anampinga LISUU na team yake.
Naomba mwaka huu wasipate hata mhunge 1 ili iwe funzo ktk siasa zao
Kwa hiyo shetani yuko njia sahihi sababu wengi tunamchukiaUkiona adui Yako anachukizwa na uyafanyayo ujue uko njia sahihi.