Nimeichukia sana CHADEMA ya Lissu

Chadomo chama siasa kilishakufa, Lissu anafanya jitihada kukigeuza chadomo kuwa kikundi cha mungiki.
 
Uzuri ni kwamba, hata uwachukie vipi, wewe siyo mtoa pumzi na Mungu hatokei kijijini kwako.
 
Mtu zoba jinga Kama wewe.
Lenye mawazo ya KI KANGAROO 🦘 🦘
 
Hatutaki wabunge wa kupewa,ndiyo maana hatutaki kushiriki uchaguzi,tunataka mabadiliko ya katiba ili tupate wabunge wa kuchaguliwa na wananchi hii ndiyo falsafa ya Viongozi wenye akili wa Chadema usiyowapenda
 
Ghadhabu yako dhidi ya cdm iko wazi, na ushahidi ni nyuzi mbalimbali unazoazisha kuhusu cdm ukijiliza. Sio ww tu mwenye sonona, bali wako Lusungo Tlaatlaah TrueVoter
Wengi mliokosa akili kama wewe mnaona ni sonona lakini tabia Za kishenzi alizoonesha Lissu na wahuni wenzie akina Lema wakati wa kampeni kumefanya wenye akili wengi sana kuidharau CDM na Lissu!!

Namdharau Lissu kuliko kinyesi ni binadamu mshenzi sana.
 
Lisu amepata uenyekiti lwa matusi na uzushi kwa Mbowe...hatoboi katu. Dhambi hiyo itamuandama tu
Hii imemfanya Lissu apoteze elite group amebaki na vijana wahuni wahuni unaowaona wanamshabikia humu. Nilimpendaga sana Yule jamaa Ila kwa namna alivyobehave kwenye kampeni nimemdharau kupita kiasi!! Ni mshenzi na hayawani sana.
 
Kama inauma, chomoa
 
Lissu ana Chadema?
 
nakuunga mkono 100%, walichokifanya ni ushenzi sana
 
Na Mimi nimekuchukia sana wewe
 
Sheikh, ramadhani hii inakuja, nafikiri lipo la kujifunza baina yangu na yako.

Allah atengeneze nafsi zetu...Amiin.
 
Kumchukia tu haitoshi. Ungejitia kabisa kitanzi ili tuamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…