Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Dar nilipaona pazuri sana.
Ila baada ya kuhamia huku mkoani aisee nimetokea kupachukia sana dar.
Dar unakuwa na hela ila matumizi mengi na ya ajabu.
Vurugu nyingi. Mfano mimi kulala dar ilikuwa nalala kila siku saa sita usiku naamka saa kumi na moja.
Huku mkoani, saa mbili tu wote tunaota ndoto nyevu.
Mtu akiniambia nirudi Dar nitampiga kofi mpaka azimie.