Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Tafuta mke kijana hizo ndoto nyevu sio nzuri
Kuna siku utaota unapelekewa moto
Sema joto la mapumbu sio poa🤔😂usiombe hiyo siku combination ya joto na mbu pale umeme Unapokuwa umekatika alafu unaishi kwenye nyumba zile fupi zenye madirisha madogo Kigogo, ubungo😂, manzeseMkoani njaa kali,,, mzunguko wa pesa mdogo,,,,plus ujanja ujanja /sayansi ya kale/uchawi !!!!! Dsm ukiishi kwa akili ni rahisi kutoboa kuliko mkoani ,, ! Akili kichwani mwako, kila mtu ana namna anataka kuyaweka maisha yake kulingana na standards alizojiwekea ! Dar kuna kero zake pia mfano joto, foleni n.k
Atawadanganya walioko mikoani🤣Dsm ipi rahisi kutoboa? Em acha kudanganya umma hapa. Lol
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Rudi DarMtu akiniambia nirudi Dar nitampiga kofi mpaka azimie.
Mkoani njaa nakataaMkoani njaa kali,,, mzunguko wa pesa mdogo,,,,plus ujanja ujanja /sayansi ya kale/uchawi !!!!! Dsm ukiishi kwa akili ni rahisi kutoboa kuliko mkoani ,, ! Akili kichwani mwako, kila mtu ana namna anataka kuyaweka maisha yake kulingana na standards alizojiwekea ! Dar kuna kero zake pia mfano joto, foleni n.k
Magufuli alisema atakayebaki Dar atakuwa Mwanaume.Dar nilipaona pazuri sana.
Ila baada ya kuhamia huku mkoani aisee nimetokea kupachukia sana dar.
Dar unakuwa na hela ila matumizi mengi na ya ajabu.
Vurugu nyingi. Mfano mimi kulala dar ilikuwa nalala kila siku saa sita usiku naamka saa kumi na moja.
Huku mkoani, saa mbili tu wote tunaota ndoto nyevu.
Mtu akiniambia nirudi Dar nitampiga kofi mpaka azimie.
Saa mbili?Dar nilipaona pazuri sana.
Ila baada ya kuhamia huku mkoani aisee nimetokea kupachukia sana dar.
Dar unakuwa na hela ila matumizi mengi na ya ajabu.
Vurugu nyingi. Mfano mimi kulala dar ilikuwa nalala kila siku saa sita usiku naamka saa kumi na moja.
Huku mkoani, saa mbili tu wote tunaota ndoto nyevu.
Mtu akiniambia nirudi Dar nitampiga kofi mpaka azimie.
Dar ni overated sana!
Hakuna space Wala fresh air Hadi uende ufukweni napo harufu ya samaki TU na hewa ya joto sometimes!
Sikupapenda kabisa hata post sikujaza!!
Karibu duniani..!Dar nilipaona pazuri sana.
Ila baada ya kuhamia huku mkoani aisee nimetokea kupachukia sana dar.
Dar unakuwa na hela ila matumizi mengi na ya ajabu.
Vurugu nyingi. Mfano mimi kulala dar ilikuwa nalala kila siku saa sita usiku naamka saa kumi na moja.
Huku mkoani, saa mbili tu wote tunaota ndoto nyevu.
Mtu akiniambia nirudi Dar nitampiga kofi mpaka azimie.
Si kweli kwa ASILIMIA zoteWaTanzania wengi ambao hawajaishi nje ya Dar hua wana beza mikoani, lakini once wanapo pata wasaha wa kuishi kidogo mikoani hua wanaichukia Dar
Na mtu yeyote ambae atathubutu kuishi out of the comfort zone, lazima ataona mabadiliko na kufurahia maisha