Nimeichukia sana Dar

Nimeichukia sana Dar

Tangu niondoke huko 2023 nimekuwa na amani sana ,mwaka mzima nilikuwa napambania uhamisho...Kulinishinda kabisa ; kwanza foleni hata uwe na gari ,wezi kila kona, ratiba kwa kazi zetu huko lazima uamke 11 alfajiri ...Huku Tanga ni raha kwenda mbele hakuna vurugu .

Woyoo!
 
Mkoani njaa kali,,, mzunguko wa pesa mdogo,,,,plus ujanja ujanja /sayansi ya kale/uchawi !!!!! Dsm ukiishi kwa akili ni rahisi kutoboa kuliko mkoani ,, ! Akili kichwani mwako, kila mtu ana namna anataka kuyaweka maisha yake kulingana na standards alizojiwekea ! Dar kuna kero zake pia mfano joto, foleni n.k
Sema joto la mapumbu sio poa🤔😂usiombe hiyo siku combination ya joto na mbu pale umeme Unapokuwa umekatika alafu unaishi kwenye nyumba zile fupi zenye madirisha madogo Kigogo, ubungo😂, manzese
 
Mkoani njaa kali,,, mzunguko wa pesa mdogo,,,,plus ujanja ujanja /sayansi ya kale/uchawi !!!!! Dsm ukiishi kwa akili ni rahisi kutoboa kuliko mkoani ,, ! Akili kichwani mwako, kila mtu ana namna anataka kuyaweka maisha yake kulingana na standards alizojiwekea ! Dar kuna kero zake pia mfano joto, foleni n.k
Mkoani njaa nakataa
Ila mzungukonwa Hela pia hauwezi fanana na dar kutegemea na mkoa uliopo
 
Dar nilipaona pazuri sana.

Ila baada ya kuhamia huku mkoani aisee nimetokea kupachukia sana dar.

Dar unakuwa na hela ila matumizi mengi na ya ajabu.

Vurugu nyingi. Mfano mimi kulala dar ilikuwa nalala kila siku saa sita usiku naamka saa kumi na moja.

Huku mkoani, saa mbili tu wote tunaota ndoto nyevu.

Mtu akiniambia nirudi Dar nitampiga kofi mpaka azimie.
Magufuli alisema atakayebaki Dar atakuwa Mwanaume.

Acha sisi wanaume tupambane.
 
Dar nilipaona pazuri sana.

Ila baada ya kuhamia huku mkoani aisee nimetokea kupachukia sana dar.

Dar unakuwa na hela ila matumizi mengi na ya ajabu.

Vurugu nyingi. Mfano mimi kulala dar ilikuwa nalala kila siku saa sita usiku naamka saa kumi na moja.

Huku mkoani, saa mbili tu wote tunaota ndoto nyevu.

Mtu akiniambia nirudi Dar nitampiga kofi mpaka azimie.
Saa mbili?
 
Iko tofauti kubwa tu kati ya Dar es salaam na mkoani. Siku sita nilizokaa mkoani zilithibitisha kuwa mikoani maisha yanakwenda kwa kasi ya 2-3G hii nimeiona Bukoba, Kigoma, Tabora na Dodoma
Kasi ya maisha Dar nadhani inakaribia au kupita 5G 😂
 
Dar nilipaona pazuri sana.

Ila baada ya kuhamia huku mkoani aisee nimetokea kupachukia sana dar.

Dar unakuwa na hela ila matumizi mengi na ya ajabu.

Vurugu nyingi. Mfano mimi kulala dar ilikuwa nalala kila siku saa sita usiku naamka saa kumi na moja.

Huku mkoani, saa mbili tu wote tunaota ndoto nyevu.

Mtu akiniambia nirudi Dar nitampiga kofi mpaka azimie.
Karibu duniani..!
 
WaTanzania wengi ambao hawajaishi nje ya Dar hua wana beza mikoani, lakini once wanapo pata wasaha wa kuishi kidogo mikoani hua wanaichukia Dar
Na mtu yeyote ambae atathubutu kuishi out of the comfort zone, lazima ataona mabadiliko na kufurahia maisha
Si kweli kwa ASILIMIA zote
Ni vipaumbele binafsi vya mtu vinamfanya apende au kuchukia Dar
 
Back
Top Bottom