Mkoa upo mkuu?Huku mkoani, saa mbili tu wote tunaota ndoto nyevu.
Dar siitaki hata useme niniMkoani njaa kali,,, mzunguko wa pesa mdogo,,,,plus ujanja ujanja /sayansi ya kale/uchawi !!!!! Dsm ukiishi kwa akili ni rahisi kutoboa kuliko mkoani ,, ! Akili kichwani mwako, kila mtu ana namna anataka kuyaweka maisha yake kulingana na standards alizojiwekea ! Dar kuna kero zake pia mfano joto, foleni n.k
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana mkuu kwa kuchelewa kujua hilo dar waachie kina bhakhersa na mama kizimkazi wanao enda nyumbani kwa vingora ila sisi wengine tunao ninginia kwenye daradara kama kozi ya ukondakta ni maumivu makubwa.
Dsm ipi rahisi kutoboa? Em acha kudanganya umma hapa. LolMkoani njaa kali,,, mzunguko wa pesa mdogo,,,,plus ujanja ujanja /sayansi ya kale/uchawi !!!!! Dsm ukiishi kwa akili ni rahisi kutoboa kuliko mkoani ,, ! Akili kichwani mwako, kila mtu ana namna anataka kuyaweka maisha yake kulingana na standards alizojiwekea ! Dar kuna kero zake pia mfano joto, foleni n.k