GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwamba katika Kitabu kitakatifu cha Dini ya Kiislamu cha QURAN Yesu Kristo katajwa sana tu kuliko Mtume Mohammad?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kuona tu hii ID yako wala sijataka Kupoteza muda wangu Kukuelewa kwani nilitegemea ungejibu ulivyojibu Ok?Aliyetajwa ni yule ambaye yeye na wanafunzi wake walikuwa wakisakwa na kuuwawa na warumi, kule palestine
Sie yule aliyeanzisha ukristo antiokia itali ambae anafatwa na wakristo wa leo
Yes!!! na kinamtaja YESU[ISSA] kama MASIH,na atakuja kama alama ya kiama!!!Kwamba katika Kitabu kitakatifu cha Dini ya Kiislamu cha QURAN Yesu Kristo katajwa sana tu kuliko Mtume Mohammad?
Well saidAliyetajwa ni yule ambaye yeye na wanafunzi wake walikuwa wakisakwa na kuuwawa na warumi, kule palestine
Sie yule aliyeanzisha ukristo antiokia itali ambae anafatwa na wakristo wa leo
Nafikiri unamzungumzia Nabii Issa a.s.Kama ni huyo Qur’an imetaja majina la manabii wengine kuliko Mtume Muhammad S.A.W kwa sababu yeye ndiye alikuwa anasimuliwa habari za mitume iliyopita na Allah.Kwamba katika Kitabu kitakatifu cha Dini ya Kiislamu cha QURAN Yesu Kristo katajwa sana tu kuliko Mtume Mohammad?
Kweli kabisa!!!Yes!!! na kinamtaja YESU[ISSA] kama MASIH,na atakuja kama alama ya kiama!!!
Kwa kukuongezea tu ni Kwamba Hata Mariam Mama wa Yesu ndio Mwanamke pekee aliyetajwa kwa Jina( Nown) not Pronoun kwa wingi na hakuna Mwanamke mwingineKwamba katika Kitabu kitakatifu cha Dini ya Kiislamu cha QURAN Yesu Kristo katajwa sana tu kuliko Mtume Mohammad?
Umezungumza vyema kabisa!!!Ndiyo, katika Qur'an, Yesu Kristo (Isa bin Maryam) ametajwa kwa jina mara nyingi zaidi kuliko Mtume Muhammad (SAW).
Jina la Isa bin Maryam linatajwa mara 25 kwenye Qur'an, pamoja na rejea nyingi zinazomhusu moja kwa moja bila kumtaja kwa jina. Mfano kwenye Qur’an 3:45 na Qur’an 43:63
Muhammad limetajwa mara 4 kwa uwazi, na pia kwa jina la Ahmad mara 1 kwenye Qur'an 61:6, ikifanya jumla ya mara 5.
Sasa genta kwann unafanya kama uchochezi wa dini. Yesu katajwa sana kwasababu, Qur'an inasimulia kwa kina kuzaliwa kwa Isa na nafasi ya mama yake, Maryam, ambaye pia ametajwa mara nyingi.
Isa ni mhusika muhimu kwa Wayahudi na Wakristo, hivyo Qur’an inampa nafasi kubwa kufafanua msimamo wa Kiislamu kuhusu yeye.
yesu anatambulika kwa miujiza mingi, kama kuzaliwa bila baba, kuponya wagonjwa, na kufufua wafu, hivyo Qur’an inamtaja ili kuthibitisha utume wake.
Alafu naomba ufahamu Muhammad (SAW) ni mzungumzaji wa Qur’an. Mtume Muhammad ndiye aliyeteremshiwa Qur’an, hivyo si mara nyingi anatajwa kwa jina bali anarejelewa kama "Mtume" au "Mjumbe wa Allah".
Kwa hivyo, ingawa Muhammad (SAW) ni mtume wa mwisho na mwenye nafasi ya juu katika Uislamu, Yesu (Isa) ametajwa zaidi kwa jina kwa sababu ya nafasi yake katika historia ya dini na hoja zinazohusiana na yeye.
KAMA HAKUKUELEWA ANA JAMBO LAKE.Ndiyo, katika Qur'an, Yesu Kristo (Isa bin Maryam) ametajwa kwa jina mara nyingi zaidi kuliko Mtume Muhammad (SAW).
Jina la Isa bin Maryam linatajwa mara 25 kwenye Qur'an, pamoja na rejea nyingi zinazomhusu moja kwa moja bila kumtaja kwa jina. Mfano kwenye Qur’an 3:45 na Qur’an 43:63
Muhammad limetajwa mara 4 kwa uwazi, na pia kwa jina la Ahmad mara 1 kwenye Qur'an 61:6, ikifanya jumla ya mara 5.
Sasa genta kwann unafanya kama uchochezi wa dini. Yesu katajwa sana kwasababu, Qur'an inasimulia kwa kina kuzaliwa kwa Isa na nafasi ya mama yake, Maryam, ambaye pia ametajwa mara nyingi.
Isa ni mhusika muhimu kwa Wayahudi na Wakristo, hivyo Qur’an inampa nafasi kubwa kufafanua msimamo wa Kiislamu kuhusu yeye.
yesu anatambulika kwa miujiza mingi, kama kuzaliwa bila baba, kuponya wagonjwa, na kufufua wafu, hivyo Qur’an inamtaja ili kuthibitisha utume wake.
Alafu naomba ufahamu Muhammad (SAW) ni mzungumzaji wa Qur’an. Mtume Muhammad ndiye aliyeteremshiwa Qur’an, hivyo si mara nyingi anatajwa kwa jina bali anarejelewa kama "Mtume" au "Mjumbe wa Allah".
Kwa hivyo, ingawa Muhammad (SAW) ni mtume wa mwisho na mwenye nafasi ya juu katika Uislamu, Yesu (Isa) ametajwa zaidi kwa jina kwa sababu ya nafasi yake katika historia ya dini na hoja zinazohusiana na yeye.
😂😂😂Nafikiri unamzungumzia Nabii Issa a.s.Kama ni huyo Qur’an imetaja majina la manabii wengine kuliko Mtume Muhammad S.A.W kwa sababu yeye ndiye alikuwa anasimuliwa habari za mitume iliyopita na Allah.
Sasa katika kumpa habari mtu huwezi kutaja sana jina la mpewa habari lakini utataja sana majina ya wahusika waliopo kwenye hiyo habari
Ujue kabisa nabii issa sio YesuKwamba katika Kitabu kitakatifu cha Dini ya Kiislamu cha QURAN Yesu Kristo katajwa sana tu kuliko Mtume Mohammad?
🤣🤣🤣