Nimeichungulia hii mahala na imenishtua kwa kiasi fulani hivi je, ina ukweli wowote kwa Wahusika wa hilo Eneo?

Nimeichungulia hii mahala na imenishtua kwa kiasi fulani hivi je, ina ukweli wowote kwa Wahusika wa hilo Eneo?

hii mada ni nzuri sana tukiijadili bila mabishano ya dini,kwamba Kwa mujibu wa Qurani KIAMA KINAMTEGEMEA YESU ? JE ni kweli pia quran imesema wakishindwa kuelewa mambo mengine wakasome biblia ?
 
Kwamba katika Kitabu kitakatifu cha Dini ya Kiislamu cha QURAN Yesu Kristo katajwa sana tu kuliko Mtume Mohammad?
Answer and Explanation: Jesus is mentioned 108 times in the Quran directly or in the third-person, and at least 187 times indirectly. This makes him the most mentioned person in the Quran. He is referred to by name as Isa ibn Maryam (Jesus, son of Mary), and he is described as the Messiah (al-Masih in Arabic).

Source:
 
Aliyetajwa ni yule ambaye yeye na wanafunzi wake walikuwa wakisakwa na kuuwawa na warumi, kule palestine

Sie yule aliyeanzisha ukristo antiokia itali ambae anafatwa na wakristo wa leo
Mimi nakuelewa!ukristo ulianzishwa na Paulo mtume!!Yesu aliacha wanafunzi wake ambao Bado hawajawa wakristo lakini Leo wanafunzi wa yesu ndio huitwa wakristo!!
 
Ndiyo, katika Qur'an, Yesu Kristo (Isa bin Maryam) ametajwa kwa jina mara nyingi zaidi kuliko Mtume Muhammad (SAW).

Jina la Isa bin Maryam linatajwa mara 25 kwenye Qur'an, pamoja na rejea nyingi zinazomhusu moja kwa moja bila kumtaja kwa jina. Mfano kwenye Qur’an 3:45 na Qur’an 43:63
Muhammad limetajwa mara 4 kwa uwazi, na pia kwa jina la Ahmad mara 1 kwenye Qur'an 61:6, ikifanya jumla ya mara 5.

Sasa genta kwann unafanya kama uchochezi wa dini. Yesu katajwa sana kwasababu, Qur'an inasimulia kwa kina kuzaliwa kwa Isa na nafasi ya mama yake, Maryam, ambaye pia ametajwa mara nyingi.
Isa ni mhusika muhimu kwa Wayahudi na Wakristo, hivyo Qur’an inampa nafasi kubwa kufafanua msimamo wa Kiislamu kuhusu yeye.
yesu anatambulika kwa miujiza mingi, kama kuzaliwa bila baba, kuponya wagonjwa, na kufufua wafu, hivyo Qur’an inamtaja ili kuthibitisha utume wake.

Alafu naomba ufahamu Muhammad (SAW) ni mzungumzaji wa Qur’an. Mtume Muhammad ndiye aliyeteremshiwa Qur’an, hivyo si mara nyingi anatajwa kwa jina bali anarejelewa kama "Mtume" au "Mjumbe wa Allah".

Kwa hivyo, ingawa Muhammad (SAW) ni mtume wa mwisho na mwenye nafasi ya juu katika Uislamu, Yesu (Isa) ametajwa zaidi kwa jina kwa sababu ya nafasi yake katika historia ya dini na hoja zinazohusiana na yeye.
Thank you.
 
Iko wazi hata Isaka katajwa kuliko Ishmail wanayedai ndio mzao wa ahadi wa Ibrahim. Ndio maana kuna matoleo mengi ya hicho kitabu. Wanachokisoma watu wa TZ na Misri na Saudia ni tofauti na wanachosoma kule africa kaskazini.
 
Back
Top Bottom