Nimeichungulia hii mahala na imenishtua kwa kiasi fulani hivi je, ina ukweli wowote kwa Wahusika wa hilo Eneo?

hii mada ni nzuri sana tukiijadili bila mabishano ya dini,kwamba Kwa mujibu wa Qurani KIAMA KINAMTEGEMEA YESU ? JE ni kweli pia quran imesema wakishindwa kuelewa mambo mengine wakasome biblia ?
 
Kwamba katika Kitabu kitakatifu cha Dini ya Kiislamu cha QURAN Yesu Kristo katajwa sana tu kuliko Mtume Mohammad?
Answer and Explanation: Jesus is mentioned 108 times in the Quran directly or in the third-person, and at least 187 times indirectly. This makes him the most mentioned person in the Quran. He is referred to by name as Isa ibn Maryam (Jesus, son of Mary), and he is described as the Messiah (al-Masih in Arabic).

Source:
 
Aliyetajwa ni yule ambaye yeye na wanafunzi wake walikuwa wakisakwa na kuuwawa na warumi, kule palestine

Sie yule aliyeanzisha ukristo antiokia itali ambae anafatwa na wakristo wa leo
Mimi nakuelewa!ukristo ulianzishwa na Paulo mtume!!Yesu aliacha wanafunzi wake ambao Bado hawajawa wakristo lakini Leo wanafunzi wa yesu ndio huitwa wakristo!!
 
Thank you.
 
Iko wazi hata Isaka katajwa kuliko Ishmail wanayedai ndio mzao wa ahadi wa Ibrahim. Ndio maana kuna matoleo mengi ya hicho kitabu. Wanachokisoma watu wa TZ na Misri na Saudia ni tofauti na wanachosoma kule africa kaskazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…