Nimeikumbuka JamiiForums ya zamani

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] muuza kiepe Maarufu
 
Hii sio ile JF niliyokuwa sijui hata ni nini cha kucomment kwa nondo zilizokuwa zikimwagwa. Dah JF ya kweli ilishazikwa na sasa tunatoka katika Era ya JF iliyosifika kwa uchambuzi wa mambo makubwa hadi JF ya kufundishana NGONO. Zamani hata mada za mapenzi zilijadiliwa kwa maturity ila sio sasa. Nitaishukuru Daima kwa kunikuza na siondoki hata kama ikigeuka branch ya ZEutamu maana JF bado ni mtandao wa kijamii mzuri kuliko yote Tanzania
 
Mimi na wewe ni kuleeeee. Hivi unaita women empowerment au?? Unanikosha sometimes na saa nyengine unanivuruga mpaka nakimbia🤣🤣🤣🤣
 
@edelyn huwa nafikiri wewe ni member mkongwe humu ujue!!
Si kwa nondo zile zinazomtoaga jasho Extrovert[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakati naingia humu kuna id mbili zilikuwa moto ambazo ni mzee mwanakijiji na lizabon. Sijui wako wapi?
 
Amina!
 
Sijakubali kuwa mtu wa sita kwenye list
 
Wewe si ulisema huwa nakuvuruga?!
 
Ila Mshana Jr nikili nimeanza soma threads zako kitambo nawewe humu ndio mtu wa kwanza kuikariri I'd yako kuna story mmoja ya yule mama wa rombo kimara mpika chakula karibu na ulipokuwa umepanga na mauza uza yake mpaka ukahamia mwananyamala ukakutana na maudha uza mengine ilikuwa nj kiboko.

Mpaka Leo napitiaga Uzi mmoja mmoja ujue Huwa nikitulia naanza jisomea. Japo sikuhizi makali ya story izo umezipunguza sijui umeokoka tiyari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…