Nimeikumbuka JamiiForums ya zamani


Nilikua najuaga Money Penny na lara 1 ni mtu mmoja...

Ila bahati nikaja kuwafahamu wote wawili kua ni watu tofauti... ila kama mnatabia zinazofanana... wote ni watunzi wazuri, wote ni waongeaji wazuri... ni vile tu Money Penny umeolewa ila lara 1 bado hajaolewa...

Ngoja niishie hapo... mengine sitofunguka...


Cc: mahondaw
 
Hata mimi napenda kujamiiana!

Ni jambo jema!

[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Hiyo tabia ya kusifia vitu vya zaman tumevizoea mana utasikia mtu anasema mziki ulikua zaman enzi za kina marijan rajabu, sekinde,na msondo. Kwaiyo watu wa sasa msikate tamaa hata nyinyi mkiwa wakongwe mtawaambia majunior maneno hayo hayo
 
Hahaha kujamiiana uko vipiii auntie
 
Weengiii[emoji85]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapana kaka mimi huwa nakukubali sana ila basi tu ubishi mwingine ni wa kuchangamsha mada so don't take it personal[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi na wewe ni kuleeeee. Hivi unaita women empowerment au?? Unanikosha sometimes na saa nyengine unanivuruga mpaka nakimbia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wengi wao wametekwa na serikali ya awamu ya 5
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapana mimi ni mgeni sema tu nimekuja kwa kasi ya 5G zamani nilikuwaga mpenzi mtazamaji ila mwaka huu na mimi nikaanza kuwa mpenzi mtangazaji[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
@edelyn huwa nafikiri wewe ni member mkongwe humu ujue!!
Si kwa nondo zile zinazomtoaga jasho Extrovert[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kiranga
Mzizi mkavu
A woman of substance
Nyani
Eiyer
Asha d
Pasco
Heaven on earth
Jmaa alikuwa anatumia jna paul
Hao n baadh tu ya wakongwe ninaowakumbuka.
 
Kuna Dada alikuwa anaitwa Smile sikuwai kumuona wala kumjua ila nilimzimikiaga mazima aligoma kunipa namba pm, angefanya hivyo tongozo lingemuhusu.
Kuna Mwita25 huyu alikuwa anaongea ngeli, Masanilo @Dr slaa, nape nauye, mwigulu nchemba, Ben Saanane,Lizzy, Kongosho, @maleria sugu, Ritz, Rejao, Pdidy, Kiranga mpagani mjanja, Mzizi mkavu, The Boss. Nyani Ngabu lugha zake za jeuri zilimjengea maadui wengi wa kwenye keyboard bila yeye kujua na siku alipoingia kwenye 18 za wala vumbi walimtimulia vumbi la kutosha. Ulikuwa ukikutana na Habari ni Habari za moto kweli sio sasa hivi uwongo mwingi.
 
umemsahau mwafrika wa kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…