Nimeikuta mahali: Mzee alivyozima kelele za wabaya wetu

JPM alisema barakoa za nje zina sumu.

Kupima madereva huku kwetu walipimwa na nini wakati maabara yetu imefungwa kwa uchunguzi usiokamilika.

Halafu hivi una habari sukari bado haipatikani uswahilini?

Sent using Jamii Forums mobile app

Aliyekwambia hawapimi wakati wa uchunguzi ndio alikudanganya ie unaleta majungu. Kuhusu sukari kokosekana mtaani kwako ndio propaganda zenyewe, jipime kama umetosha?
 
WHO wana madaktar waliobobea kwenye suala zima la afya, ndio walioshauri matumiz ya cloth masks, business insider ulikochukua tafiti zako nadhan wana wataalam wa habarr za kiushawish kama ww unavyotushawishi. Write facts please...
 
Insider si pharmacology institution/company. Wanaandika yaliyotoka kwenye research institutions..
 
Tuliwaomba, wanajikomba kwa mwamba.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haohao wanaowashutumu kutaka yote hayo ndio wametoa bilioni 12 kupambana na CoRONA. Kweli za kuambiwa changanya na zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka ya nyuma ilikuwa imezoeleka kuona viongozi wa Africa ku-copy mambo toka nje ya bara kuanzia sera adi utendaji, ila ivi sasa JPM amekuwa mfano kwao & dunia nzima na wao ndio wana-copy toka kwake.

Ama kweli dunia duara!!!
 
hata wewe mkuu ukitaka kuitwa kutokana na maisha yako utapewa.

ukiwa mchezi kitaani na una pesa=unaitwa boss
ukiwa hohehhahe sura mbuzi=mwamed au kitambi mzigo.
ukiwa mcheshi na huna hela=unaitwa baharia
ukiwa na hela sura mbuzi=unaitwa mzee ......


lakini sasa atleast nanyinyi mmeelewa kwamba hawana habari na upupu mnaowapa eh.
 
Miaka ya nyuma ilikuwa imezoeleka kuona viongozi wa Africa ku-copy mambo toka nje ya bara kuanzia sera adi utendaji, ila ivi sasa JPM amekuwa mfano kwao & dunia nzima na wao ndio wana-copy toka kwake.

Ama kweli dunia duara!!!
Uonavyo wewe.Kanyaga taratibu baba wasisikie kishindo.
 
Sijaelewa hata unachokisema.. Mimi napinga u kigeugeu either uwe na Serikali au Wa Upinzani...
Maana hii nchi wanasiasa wote mmekuwa waongo waongo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameshangaza dunia nzima kwa kuweka sampuli za mapapai,fenesi ,mbuzi na kondoo na kug'amua testkits mbovu. Bbc, Cnn na Aljazeera hawawezi kuonyesha lakini Tv kibao Usa zinamzungumzia mpaka sasa hivi.

Mkuu isije kuwa TBC, ITV, channel 10,Star TV, Clouds nk? Hizi nazo ziko kwenye satellites zinapatikana dunia nzima hata USA mkuu, na hata online.

Live ni king'amuzi chako tu mkuu.
 
Mkuu isije kuwa TBC, ITV, channel 10,Star TV, Clouds nk? Hizi nazo ziko kwenye satellites zinapatikana dunia nzima hata USA mkuu, na hata online.

Live ni king'amuzi chako tu mkuu.
Nenda kanywe mbege na K vant.
 
Nenda kanywe mbege na K vant.

Niko nafuka nyungu mkuu. Mbona unanichuria niache kuitika wito wa uponyaji tokea kwa nabii mkuu?

Kwani wewe nani zaidi yake anayetutaka sisi waumini wake kukesha kwenye nyungu nawe unataka tukapombeke?

Utakuwa unatumiwa na mabeberu wewe!

Usitake kutupoteza maboya siye. Tunajifua kisawasawa wenzio kwa chereko chereko za kesho.

Ukizingatia na nyungu ikikolea vilivyo hata n95 barakoa tupa kule!
 
Safi sana.
 
Baada ya ibada ya kusifu na kuabudu huyu JPM ni lazima umtolee zaka na sadaka.
Kumbuka unapotoa sadaka kubwa kwa huyu kiumbe,atakuzawadia cheo kikubwa.
Kumbuka kuwananga na kuwatukana wapinzani wa huyu Mungu wako,kusudi ilipwe posho zaidi ya shs 7,000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…