Bess
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 547
- 656
- Thread starter
- #61
Andika ukiwa umetulia tafadhali, ili mada unayochangia ielewekeBaada ya ibada ya kusifu na kuabudu huyu JPM ni lazima umtolee zaka na sadaka.
Kumbuka unapotoa sadaka kubwa kwa huyu kiumbe,atakuzawadia cheo kikubwa.
Kumbuka kuwananga na kuwatukana wapinzani wa huyu Mungu wako,kusudi ilipwe posho zaidi ya shs 7,000
Sent using Jamii Forums mobile app