[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inavuta hisia
Kwa dar sisi wanaume wa simba mnatuoneaHahaha ajenda yetu ni kwamba hatutaki kuwa na wanaume wanaolialia kwa vitu vidogo
Hizo wig zitozwe kodi tu tutavaa hivyohivyo tukishindwa tutanyoa
😆😆😆😆Haya bhana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wengine wakiombwa naniliu..muda huohuo wanaingia mwezini.
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio msiombe sasa.
Hivi ukishakula kwa jirani, unatakiwa kukaa kwa muda gani kabla ya kuaga ?
Kumbe?[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Muda huo huo anaomba kutumiwa Pichai WhatsApp....Haaahaaaa na nyie mkipewa namba muda huo huo unaleta Uzi jf, muda huo huo unawaza ukamgegede, muda huo huo unahofia kupigwa mizinga, muda huo huo..... .........
Mwezini kufata nini?[emoji85][emoji85]Wengine wakiombwa naniliu..muda huohuo wanaingia mwezini.
Kuchinja kukuMwezini kufata nini?[emoji85][emoji85]
Mimi huwa nawaomba waniwekee kwenye hot pot. Nitaenda kula nyumbani kwangu.Haina muda maalumu ila wewe uliyedowea kwa jirani utakadiria kuwa uage
Mmh mkuu utakuwa unawafanya wajute kuwa na jirani kama wewMimi huwa nawaomba waniwekee kwenye hot pot. Nitaenda kula nyumbani kwangu.
Mimi sipendi kujivunga vunga mkuu. Na wao wakija kwangu wanapata full package kwa hiyo tumezoeshana hivyo.Mmh mkuu utakuwa unawafanya wajute kuwa na jirani kama wew
Samahani mkuu kuna vyumba vya kupanga hapo jirani na unapoishiMimi sipendi kujivunga vunga mkuu. Na wao wakija kwangu wanapata full package kwa hiyo tumezoeshana hivyo.
Ninapoishi hakuna ila nyumba ninayokaa ina chumba cha wageni.Samahani mkuu kuna vyumba vya kupanga hapo jirani na unapoishi
Haaahaaaa hapo hapana mkuu usije nifungulia thread muda huo huoNinapoishi hakuna ila nyumba ninayokaa ina chumba cha wageni.
Karibu
Sinaga huo uswahili mkuu. Kuwa na amani.Haaahaaaa hapo hapana mkuu usije nifungulia thread muda huo huo
[emoji12][emoji12]Kuchinja kuku