Nimeikuta Mahali

Nimeikuta Mahali

Hebu acheni kuchukua namba mnatutia hasara.
Mimi hapa simu yangu nzima kabisa , ghafla inakufa, kodi nimelipa ya mwaka ghafla inaisha, wazazi wanaugua ghafla.

Acheni kututia mikosi[emoji23][emoji23][emoji23]
@cute b weeeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
"*Kitendo cha kuchukua tu namba ya simu ya demu wa Dar, tayari nywele zake zinafumuka muda huo huo, njaa inamuuma dakika hiyo hiyo, simu yake inaharibika siku hiyo hiyo, siku yake ya kuzaliwa inafika saa hiyo hiyo, mama yake anaumwa ghafla hapo hapo, na kodi yao ya nyumba inaisha dakika hiyo hiyo*. 🤣😆😜
cha msingi tukutane lodge nimpatie hizo pesa.
 
Nilipitia relations za kuchunwa hadi nikazoea, badae nikampata ambae haombi hela eti anajidai kunipenda nikamwambia peleka huko ufilipino.

Ukweli wanaume tumezoea kupigwa mizinga hadi inafika muda nisipoombwa hela nakuwa sijiskii yaani hata sivimbi.
Kumbe? Basi kuna mtu huwa simwombi hela ameshaanza kunidharau. Itabidi nianze.
 
pole yetu tena? Si unajua mahawala hawa achani!! Muda wowote ukitaka kupasha kiporo mwapashana tu. Pole zaidi ni kwa husband materials wana kazi ya ziada ya kufanya.

Sijui na Mimi wangu wanamtafuna uko wadau.
Wakwako anaingizwa kichwa uvunguni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Malipo ni hapa hapa.
 
Ume acknowledge kwa Maulidi Kitenge hii thread maana ume i copy kule TWITTER. Ni idea ya Kitenge
avoidi Plagiarism
 
Haaahaaaa na nyie mkipewa namba muda huo huo unaleta Uzi jf, muda huo huo unawaza ukamgegede, muda huo huo unahofia kupigwa mizinga, muda huo huo..... .........
Hivi ukishakula kwa jirani, unatakiwa kukaa kwa muda gani kabla ya kuaga ?
 
Back
Top Bottom