Nimeikuta Mahali

Nimeikuta Mahali

Hahaha ajenda yetu ni kwamba hatutaki kuwa na wanaume wanaolialia kwa vitu vidogo

Hizo wig zitozwe kodi tu tutavaa hivyohivyo tukishindwa tutanyoa
Kwa dar sisi wanaume wa simba mnatuonea

Mambo hizo za kulia lia zipo kwa majirani
 
Haaahaaaa na nyie mkipewa namba muda huo huo unaleta Uzi jf, muda huo huo unawaza ukamgegede, muda huo huo unahofia kupigwa mizinga, muda huo huo..... .........
Muda huo huo anaomba kutumiwa Pichai WhatsApp....
 
Back
Top Bottom