Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha kwan maudhui hayaendani na jina au lol
Ratiba inakuja ila hizo lips hapo ni zako?Ur missed boss yaan ni bata bandika banduaa naomba nipe ratiba yako ya weekdn kwenye fainali boss.....
Aaaarg mimi nawazaga maujinga tu mda wote[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu mkuu usiwaze mbali jamani [emoji85]
Aaaarg mimi nawazaga maujinga tu mda wote[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Aaaaaaaaaw baby i was about to open a new thread just because of u una pure love tena from within kule kenya talk nilijuwa nakuja kusoma na jusepa bt nilikuwa naona unamwambiaa hazard if im not mistaken anilete kule kuwa umenimiss and i was like hey why me not others??inshort i would like to tell u kuwa ur one of my favs people my love for u is unmeasurable .....hope one day will see lovekati ya watu niliokuwa nawamiss sana kipindi cha uhamisho wa babeli kule JamiiForums.com ni Mambembe... Yani nilimisi sana thread zako huwa siachi kuburudishwa nazo
cc Smart911
Hahahahah yaaan ww nimekuwe reserve kwanza maana matendo yako kule ughaibuni Kenya talk yalinirudisha nyumaa hatua 100 bt why lakini??
Im mad at you....yaan adhabu yako unifute michuruzo yote ....ya machozi tena kwa ulimiTimu yangu yote niliita kule, wewe tu nikashindwa jinsi ya kukufikia.
You don't know how hard it was for me all this long.
Please, do the needful.
I truly missed you.