Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa.lolHahaha mambembe hata mm mdada nilikumiss sana karibu my dear nilivyoona kuchururuzika niliwaza mbali shunie mm
Aaaaaaaaaw baby i was about to open a new thread just because of u una pure love tena from within kule kenya talk nilijuwa nakuja kusoma na jusepa bt nilikuwa naona unamwambiaa hazard if im not mistaken anilete kule kuwa umenimiss and i was like hey why me not others??inshort i would like to tell u kuwa ur one of my favs people my love for u is unmeasurable .....hope one day will see love
Nisamehe sana Mkuu,lkn sikuwa na maana mbaya...ulikuwa kimya sana Mkuu halafu mm huwa napenda sana swagga zako so,niliamua kukutafuta kwa namna nyingine!Yaan ww ndo nn kunitaja kwenye list za waliolelewa vibayaa wakati sikuukimbiaa mkole yaan mi ndo wananikimbiaa
Hahahaaa. Lol.Haha..ili jina Leo asubuhi lilitawala kichwa changu
Yaan fulu michuruzoooo na raha yake isiwe mepesi bibi weeeHahahaaaa.lol
Ila Kiswahili hiki maneno yaliyo mengi hayajawahi kuwa na maana moja jamaani lol.
Sababu Maji yanaweza kuchuruzika, mchuzi waeza kuchuruzika, machozi yaweza kuchuruzika, jasho laweza kuchuruzika basi tabu tupu. Hahahaaa.
Im mad at you....yaan adhabu yako unifute michuruzo yote ....ya machozi tena kwa ulimi
Usijali bwanaa mambembe ni dnt caree mimi nasambazaa tu upendo ila sigawi pendo lolNisamehe sana Mkuu,lkn sikuwa na maana mbaya...ulikuwa kimya sana Mkuu halafu mm huwa napenda sana swagga zako so,niliamua kukutafuta kwa namna nyingine!
Hahahha umeona eenh ndg yangu yaani vitu vingi vinachuruzikaHahahaaaa.lol
Ila Kiswahili hiki maneno yaliyo mengi hayajawahi kuwa na maana moja jamaani lol.
Sababu Maji yanaweza kuchuruzika, mchuzi waeza kuchuruzika, machozi yaweza kuchuruzika, jasho laweza kuchuruzika basi tabu tupu. Hahahaaa.
Hahahaaaa.lol
Ila Kiswahili hiki maneno yaliyo mengi hayajawahi kuwa na maana moja jamaani lol.
Sababu Maji yanaweza kuchuruzika, mchuzi waeza kuchuruzika, machozi yaweza kuchuruzika, jasho laweza kuchuruzika basi tabu tupu. Hahahaaa.
Haaaaawwwww thnk u loveeThat's great my dear kumbe ulikua unanisoma kimya kimya dohh!! Ofcourse I do appreciate sana yanii huwa unanogesha sana jukwaa seriously nakukubali mno mno!
u know Kuna uniqueness fulani hivi kwa kila member sasa yako huwa inanikosha kinouma nomaa.. santo sana
cc Smart911
Dada naona umeamka na kicheko..hahahahahaha..basi acha namimi nicheke tu..hahahahaaHahahaaa. Lol.
Weevu nimeona mimi!All in all nimewamiss sana esp mabwana zangu wa PM
Mungu wangu Mambembe leo umenipata basi nikajua MPODODO 😎 😎 😎Hope wote mu wazimaa.....
ila kusema kweli jamani nimeimiss JAMII FORUM mpaka machozi YANANITIRIRIKA semaa huyu boss mpyaa anatupeleka mchaka mchaka mpaka nasahau kushika simu
All in all nimewamiss sana esp mabwana zangu wa PM(kama naona wasionipenda wanavyosonya l.o.l)
MAMBEMBE THE UNTOUCHABLE
QUEEN OF KING BED