Nimeingia Mkoa wa Lindi. Naombeni mwongozo wenu tafadhali

Nipo Lindi huku hakuna starehe pambana tu na hali kaka angu karibu uswahilini ila hakikisha unatumia kondom na usiende na mwanamke humjui
sasa kama mgeni ndugu yangu si itakuwa very hard. maana wote huku siwajui. suala la condom hapo ngumu mimi napenda yango na yango... sema nahakikisha ameloana sana...........yaaani full utelezi then ndo tuna sexica.
 
Kuhusu kutembea tembea tu kwa kutumia miguu yako. Kuhusu kuongea ongea kiswahili tu. Unashida na kingine?
 
True mkuu. Kuna jamaa alimchukua mke wa mtu huko na kumuweka kinyumba. Nilitegemea mwenye mke angemtoa meno mkewe au mwizi wake. Cha kushangaza kamfuata mbaya wake kistaarabu kabisa na kumuomba ampe kiasi Cha pesa akaoe mke mwingine.

ENzi zile ununuzi wa korosho ulikua free and fair hata Mambo hayo yalikua free sana. Ikumbukwe Lindi Kuna maambukizi madogo sana ya ukimwi.
Ni kweli nami nimeshuhudia hii kitu twice miaka ya 2000, mara ya kwanza mwenye mke akadai laki moja na nusu na akalipwa kesi ikaisha. Mara ya pili mwenye mke alidai laki mbili na nusu na ikalipwa kwa awamu mbili mambo yakaisha.
 
sasa kama mgeni ndugu yangu si itakuwa very hard. maana wote huku siwajui. suala la condom hapo ngumu mimi napenda yango na yango... sema nahakikisha ameloana sana...........yaaani full utelezi then ndo tuna sexica.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni kweli nami nimeshuhudia hii kitu twice miaka ya 2000, mara ya kwanza mwenye mke akadai laki moja na nusu na akalipwa kesi ikaisha. Mara ya pili mwenye mke alidai laki mbili na nusu na ikalipwa kwa awamu mbili mambo yakaisha.
Lindi Mtwara nawapendea Hilo la kutokua na wivu wa kimapenzi. Jamaa alienda kununua korosho akawa anakaa na mke wa ntu gesti. Siku mnunuzi wa korosho anarudi Dar mwananke karudi kwa mumewe na Maisha yakaendelea.
Lindi ukipata mke wa mtu mlevi, ongea nae vizuri unaweza usiingie gharama ya kuoa. Huyo huyo atakupikia na kukufulia
 
Lindi hakunaga ushemeji
 
Mkoa umezubaa sana ule, nilishawahi kupita mara kadhaa huko lakini kwakweli sijaona kivutio cha kusema labda ni kiwanja cha kueleweka kwenda kuburudika labda uende ufukweni tu kupigwa upepo.

Mtwara ndiyo mwisho wa maelezo, sikujua kama wamakonde wanapenda starehe kiasi kile.
 
Yeah, Mtwara pako poa sana, kuna kila kitu, mji ni mkubwa na mishemishe zipo ingawa zimeshuka kuliko kipindi kile cha gesi
 
Huko ndiko alikozaliwa jasusi mbobezi aliyeshindwa kuhudhuria mazishi ya jasusi mwenzake kwa kuogopa kuvaa barakoa hadharani
 
Mkoa umezubaa sana ule, nilishawahi kupita mara kadhaa huko lakini kwakweli sijaona kivutio cha kusema labda ni kiwanja cha kueleweka kwenda kuburudika labda uende ufukweni tu kupigwa upepo.

Mtwara ndiyo mwisho wa maelezo, sikujua kama wamakonde wanapenda starehe kiasi kile.
Mtwara upende upasikie tu. Yuko jamaa yangu alikua na mchumba wake wote wanafanya kazi Dar. Gesi ilipoanza jamaa kahamishiwa Mtwara. Kufika Ntwara dogo kakaribishwa na sindimba la mwanamke wa kimakonde (Ile Hadi unatema mate nje kupitia dirishani)
Basi Kuna siku mchumba alimtembelea dogo Mtwara. Mchumba kufika waliongelea mlangoni, mchumba hakuruhusiwa kuingia ndani. Mchumba aliliaa Kisha akaenda kuchukua gesti na kesho yake kupanda BUTI LA ZUNGU kurejea Dar. Na uchumba uliishia pale pale.
Wanawake wa Mtwara wazuri mkiwa ndani Ila huko nje uswahili too much.
 
Nikutahadharishe tu kwamba Lindi uchawi upo.

1. Nadhani utamkumbuka mbunge msomi wa kiwango Cha master's alikaushwa sauti akashindwa kuapa.

2. Kuna mdada alikua anagombea viti maalum walimkausha sauti akabaki kusema tu kidumu chama.

3. Tukio jingine mwenyewe unalikumbuka.

4. Tukio jingine likihusishwa na kiongozi wa chama Cha upinzani kipindi hicho akiwa kinda kabisa bungeni. Mchana kweupeeee.
Ila watu wa Lindi hawana wivu wa kimapenzi [emoji817]%

Tena unaweza kuchukua mke wa mtu ukakaa nae hapo gesti kwa siku zote na mumewe mnaongea nae vizuri tu na siku ukiondoka mke anarudi kwa mumewe.
Kha!kha!kha !, Hiyo ya mwisho ni balaa.
 
Lindi Mtwara nawapendea Hilo la kutokua na wivu wa kimapenzi. Jamaa alienda kununua korosho akawa anakaa na mke wa ntu gesti. Siku mnunuzi wa korosho anarudi Dar mwananke karudi kwa mumewe na Maisha yakaendelea.
Lindi ukipata mke wa mtu mlevi, ongea nae vizuri unaweza usiingie gharama ya kuoa. Huyo huyo atakupikia na kukufulia
Sawa,lkn Kidini na Kimaadili sio vizuri.
 
Back
Top Bottom