Nimeingia Mkoa wa Lindi. Naombeni mwongozo wenu tafadhali

Tuelekezane maeneo ya kuponea....sisi wageni. Ambayo ni salama.si ya kuja shushana mabusha....
Hamna hiko kitu Kama hicho mkuu karibu Paris ya zamani...zamani unaambiwa watu wanatoka mtwara na songea kuja kula Bata lindi.ila siku hizi haina maajabu mtwara ndo kunawaka Sasa hivi Lindi uchafu mtupu uswahili Sana ila kwa kula Bata hakuna noma mademu wa maana wako Paris club kila jumapili usku wa vijora inaitwa..ila we mzee gudume Bado una mambo hayo ya totoz?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom