Nimeingia Mkoa wa Lindi. Naombeni mwongozo wenu tafadhali

Lindi usiuze game ovyo, utabakizwa.
Wana dawa yao kwa kuchukua manii za kiume, kama mdada akitaka kukubakiza hauchomoki, nina experience nimekaa miaka 6, now nimegeuza home dar
 
Nililalaga Machenza (ile mpya) bei walinipiga 15000. Kiwanja nilienda karibu na bahari pale.
Ila nilisitika lindi samaki bei kubwa wakati bahari naiona ile pale.
Bora Dar tu.
Lindi Hakuna samaki bahari upende wao ina kina kifupi sana ...samaki wanatoa kilwa almost 100km away ndo mana bei inakua kubwa ...
 
Nakumbuka kuna mwaka nane nane ilifanyika pale, guest zilijaa ikabidi watu walale kwenye nyumba za watu binafsi na wengine kulala mtwara.
 
Braza vipi kuhusu PDF mbona hudokezei hata kidogo au unatuchukuliaje humu kwamba hatuna hela ama?
 
Hapo katikati ya mji kuna restaurant nzuri sana ya wapemba (jina nimesahau), niliwahi kwenda hapo wana msosi mzuri sana.

kuhusu Lodge hapo town center zipo za 20k hadi 50k nzuri sana.
Kuna ire ya Jamaa wa Tanga, nazani inatwa Tanga....
 
Kuna ire ya Jamaa wa Tanga, nazani inatwa Tanga....
Lie karibu na bandarini? Ina wahudumu wazuri full ushungi?
Imekufaga kitambo.
Lindi ukitaka chakula ni Kidia,Himo,Kwa White opposite na Paris club/bar
 
Vipi ardhi kubwa za uwekezaji yaani estates tapata Lindi.Kilimo chikichi, alizeti.
 
Vipi ardhi kubwa za uwekezaji yaani estates tapata Lindi.Kilimo chikichi, alizeti.
Suala la ardhi lindi ni la kujiokotea tu..fika ofisi za halmashauri husika watakupa maelekezo mazuri.

#MaendeleoHayanaChama
 
Suala la ardhi lindi ni la kujiokotea tu..fika ofisi za halmashauri husika watakupa maelekezo mazuri.

#MaendeleoHayanaChama
Ukishapata Hilo shamba na kuanzia kilimo chenye tija, kaa mkao wa kurogwa.
Mkoa una wachawi utadhani Geita!!!
 
Nimekuja Lindi. Dah. Pakiwaki kingese.

Niliplan kukaa siku 2 hapana kesho naamsha naenda Mtwara.

Mikoa mingine bado sana aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…