Nimeingia Tabora leo hii, aiseeh Wanawake wengi mnooo, aiseeh wanaume wenzangu mnapona kweli?

Nimeingia Tabora leo hii, aiseeh Wanawake wengi mnooo, aiseeh wanaume wenzangu mnapona kweli?

wakuu niko hapa mnapaita ZERO,, naona chebwa chebwa,

na haka kamvua!! nawaona swala wa UHAZILI , hapa sihitaji gobole,,
 
Naona unavamia jiji la wenyewe kwa pupa; Ulibeba Condom lakini? tusije kukupoteza at no time
 
Naona unavamia jiji la wenyewe kwa pupa; Ulibeba Condom lakini? tusije kukupoteza at no time
nikwambie mkuu, mi hapa born town kitambo,, hata kabla road ya Tabora - Nzega kupigwa mkeka, nashangaa mitaa imepgwa lami lami hahaha,, kipindi kile hazikuwepo,, mkuu sie watoto wa town hapaa ohooo
 
Back
Top Bottom