Nimeingia Tabora leo hii, aiseeh Wanawake wengi mnooo, aiseeh wanaume wenzangu mnapona kweli?

Nimeingia Tabora leo hii, aiseeh Wanawake wengi mnooo, aiseeh wanaume wenzangu mnapona kweli?

Hapo ndipo Tabora (Unyamwengani?
Karibu sana , tumekuachia dada zetu hapo ila usichanganyikiwe kwa penzi utalopewa ukasahau ndugu zako.

Dada zetu hawana utani kwenye love. Huchelewi kuchanganyiwa.
 
Mods thread kama hizi zikiwa haZina picha muwa mnazifuta mapema
 
Back
Top Bottom