Nimeingia Tabora leo hii, aiseeh Wanawake wengi mnooo, aiseeh wanaume wenzangu mnapona kweli?

mkuu nliondoka hapo jana mchana, ila tabora sijui kwa nn wanawake wengi ivo
Nikitoa jibu hapa, najua nitawakwaza wengi.
Labda tu, jiulize kwamba.... Kwanini Tabora kuna fedha nyingi za mashirika mengi ya misaada, kuliko fedha za serikali....???
 
toa jibu mkuu, maana kila kona
 
unaijua tabora utakuja kutuambia umebaki huko huko na umeoa kati ya mama au mtoto ila wote utakuwa umekula
 
Mkuu uliza ja wahenga ,unaweza acha vitu vyako vyote hapo,Nizaidi ya Tanga huo mji.
 
Niko na msichana wa kazi kutoka tabora hapa basi kila siku ananifanyia vituko hadi nahofu mke wangu anaweza kuniwazia vibaya hebu nipeni ushauri wakuu ndivyo wtt wa tabora walivyo?
 
hahaha mkuu vuta waya
 
Back
Top Bottom