Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Khaaaaa sasa mm ndio namficha jamaniShem Mzigua wangu umempeleka wapi?
Mbona nadra sana kumuona hapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaaaa sasa mm ndio namficha jamaniShem Mzigua wangu umempeleka wapi?
Mbona nadra sana kumuona hapa?
Kila kitu unajua hawezi kuondoka bila kukuaga.Khaaaaa sasa mm ndio namficha jamani
Umerudi salama kaka yangunisharudi dada[emoji23]
Kuna watoto wa kichotara pale wa kiarabu noma sana.Totoz chebwa chebwa,, mchele mdogo ila nyama nyingiiii,, totoz chebwa chebwa,,,
Mbona yupo jamani hajaenda kokoteKila kitu unajua hawezi kuondoka bila kukuaga.
niko poa kabisaUmerudi salama kaka yangu
[emoji16] [emoji23] [emoji16]Kuna watoto wa kichotara pale wa kiarabu noma sana.
hahahahaYani pesa kidogo chakula kingi au sijaelewa
Tabora ndiko chmbukonla curves,kila la heri.Totoz chebwa chebwa,, mchele mdogo ila nyama nyingiiii,, totoz chebwa chebwa,,,
[emoji23] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ndo mambo ya kwetu Mboka Manyema. Wengi huwa wakija kwa shughuri zao huwa hawaondoki Tabora. Angalia mkuu Usije kuwa wa hapahapa. Karibu Mboka mkuu [emoji23]Tabora mambo ni hiv[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] View attachment 757149
lazima nirudi tena, ivi pale karibia na kitete hosp ile ni hifadhi ya wanyama?[emoji23] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ndo mambo ya kwetu Mboka Manyema. Wengi huwa wakija kwa shughuri zao huwa hawaondoki Tabora. Angalia mkuu Usije kuwa wa hapahapa. Karibu Mboka mkuu [emoji23]
Yaah hapo ni game karibu na bomba mzinga sheikh! Karibu sanalazima nirudi tena, ivi pale karibia na kitete hosp ile ni hifadhi ya wanyama?
naskia kuna punda milia,, simba wapo?Yaah hapo ni game karibu na bomba mzinga sheikh! Karibu sana
Simba zamani sana sio kwa sasa sina uhakikanaskia kuna punda milia,, simba wapo?