Nimeingia Tabora leo hii, aiseeh Wanawake wengi mnooo, aiseeh wanaume wenzangu mnapona kweli?

Nimeingia Tabora leo hii, aiseeh Wanawake wengi mnooo, aiseeh wanaume wenzangu mnapona kweli?

[emoji23] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ndo mambo ya kwetu Mboka Manyema. Wengi huwa wakija kwa shughuri zao huwa hawaondoki Tabora. Angalia mkuu Usije kuwa wa hapahapa. Karibu Mboka mkuu [emoji23]
lazima nirudi tena, ivi pale karibia na kitete hosp ile ni hifadhi ya wanyama?
 
Back
Top Bottom