Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji23][emoji28][emoji23]Taratibu kijana mji una wenyewe huo.... angalia usijepengeshwa kamasi. ...... wanaume wa huo wanakutizama tuu unavohaha.
Na ukilambishwa asali ndo utanena kwa lugha kabisaaa.....
Hata hivyo, karibu Tabora, ukitaka kula wali ulioungwa kwa karanga wee sema kinehe. .... mashika mashika mashilongo..... mpishi atakuelewa. Ukikwama urudi hapa kuomba msaada.