Ulikuwa wapi jamaniUkikua utaacha utoto
Upo shemNakazia mjionee toto chebwa chebwa sio anawapa maneno tu
hahaha nimeaga nyumbani, ukieka limbwata linageukaUkila limbwata pia uje utoe taarifa
mkuuAisee
dada upoUlikuwa wapi jamani
Shem nipooo nimekuhamu tu mm za weweUpo shem
Nipo kaka angu kipenzi uwe makini tu huko tabora hawakawiii kukubakisha mtupu dada zako tunakupenda sanadada upo
Wooozeeer tanga ndio homehahaha nimeaga nyumbani, ukieka limbwata linageuka
hawajui hawa hahahahWooozeeer tanga ndio home
Hawajui kama huwezi tekwahawajui hawa hahahah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakuu niko hapa mnapaita ZERO,, naona chebwa chebwa,
na haka kamvua!! nawaona swala wa UHAZILI , hapa sihitaji gobole,,
nikwambie mkuu, mi hapa born town kitambo,, hata kabla road ya Tabora - Nzega kupigwa mkeka, nashangaa mitaa imepgwa lami lami hahaha,, kipindi kile hazikuwepo,, mkuu sie watoto wa town hapaa ohoooNaona unavamia jiji la wenyewe kwa pupa; Ulibeba Condom lakini? tusije kukupoteza at no time
[emoji16] [emoji23] [emoji16] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji16] [emoji23] [emoji16] hatari unaweza kuweka hapa kumbe mke wa mtu, mambo ya kupigwa fine siyatakiPicha ni muhimu