Starehe za Mlimani City na bei za ajabu ajabu
Hivi wakuu nyie mnawezaje kumudu bei za pale kuanzia vyakula mpaka vinywaji? Kuna siku nimeuziwa glass ya juice ya pineapple 5000, mpka nikajicheka, nikauliza popcorn za chumvi eti 4000..wale watu sidhani kama wapo serious.. Imefika muda nikienda yale maeneo nakuwa mziko kutumia visenti vyangu...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora kitu kuliko kukosa kitu=Chid benzWakati mwingine kwenye maisha ni bora ukubaliane na hali uliyonayo upate hata hicho kiasi kidogo cha fedha kuliko kukikosa kabsa!
Wanasema bora kitu kuliko kukikosa kabsa
Tupe locationa tuje kukuungishaSawa nitajitahidi
Asante Nashukuru Mungu now kila kitu kinapatikana hadi pedi 😋Ongeza sidiria zile za ukweli size zote, na top za wanafunzi zipo wanavalia ndani ya shati za shule, always au pedi jina lingine, body spray za bei ya kawaida, hereni, bangiri za kisasa za mkononi, duka lako likishajulikana wateja watakuja moja kwa moja kikubwa nidhamu kwa wateja usiwe mtu wa kuwapeleleza acha wanunue waendelee na mishe zao hapo utawauzia hata wamama watu wazima.
Kumbe.Nipo Shinyanga mjini Standi ya Zamani Karibu na wauza chips wengi
Karibu sana mkuu ukija Next time nicheki 071313
Nisha save ur#Karibu sana mkuu ukija Next time nicheki 0713131366
Mkuu kuhusu mkoa mi niko Kanda ya Ziwa na nafanya biashara ya Chupi. nilianza na Chupi na wakati Naendelea nikawa naongeza vitu kidogo kidogo na still Naendelea kupambana nione Duka likifika umri wa mwaka itakuaje
[/QUOTE]Kama wewe ni me kuwa makini sana na biashara ya chupi mtaji utapukutika huo.
Vipi kuna sehemu ya kujipima kwenye duka lako?
Mkuu kuhusu mkoa mi niko Kanda ya Ziwa na nafanya biashara ya Chupi. nilianza na Chupi na wakati Naendelea nikawa naongeza vitu kidogo kidogo na still Naendelea kupambana nione Duka likifika umri wa mwaka itakuaje