Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu ni biashara ya aina gani ili wengine tuwekeze hukonakupongeza ila iyo faida ni ndogo sana ukilinganisha na muda hivyo usibweteke kujiona umefika na fanya biashara kuna watu kwa siku wanapata faida ya sh 50,000 na mtaji mdogo chini ya huo wa kwako piga
hesabu kwa siku 90
na wish niijue na mmMkuu ungetaja na biashara yenyewe ingependeza zaidi sio kuweka figures tu
Unakwama wapi kuanza kuifanya ujitafunie wadada haoHiyo Biashara ya chupi ningefanya mimi ningewatafuna sana hawa wadada maana kwakweli sinaga uvumilivu kuangaliana na vifuniko vya papuchi
Hiyo Biashara ya chupi ningefanya mimi ningewatafuna sana hawa wadada maana kwakweli sinaga uvumilivu kuangaliana na vifuniko vya papuchi
Asante sana Mkuu now mambo ni motoo M-pesa ipo spray zipo hereni zipo nywele nkHongera sana kwa uthubutu nakushauri utafute kabati la kiooo weka body spray perfume za Bei rahisi, deodorant make up na other vipodozi ukipata Mpesa Airtel money na Tigo pesa utaona raha ya biashara.
Nafanya hii biashara though sio mkubwa kivileee nani ndo kama nimeanza.
Tena ukute hata kanuniana na wazazi wake sababu wamechoka kulisha jitu zima wanatamani aondoke hapo home kwao ili wazazi wake wawe wepesi....[emoji57]Pengine hapo unaandika hivyo huku unasubiri ugali wa baba na mama
Hapo unambeza mwenzio anayehangaika apate hela ya kula
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa biashara anayofanya mtoa thread...hii comments ikiiifanýia atafika mbali sanaHiyo faida ya kama 12500 per day si mbaya kwa biashara yako upo vizuri sana,ila tu hiyo faida iwe ya dukani nikimaanisha inunue mzigo mwingine na kuongeza mtaji wa duka lako.
yani nasema hivi hiyo 12500 iwe faida baada ya kutoa kodi ya frem,matumizi ya ofisi,matumizi binafsi (kama unapategemea hapo)nk kisha mkononi ukibaki na 12500 asee una bonge moja la biiashara.
ila sasa kama hiyo faida yako bado hujatoa matumizi ya ofisi,hujatoa kodi ya frem,hujatoa makorokweche mengine Asee don't count it kama faida.
Nakupongeza kama Hyo faida ni baada ya Kutoa kila ktu asee ndugu hongera sana sana sana maana kwa siku unaweka kwenye kibubu zaidi ya 10k ukiwa umeshakula umeshafanya kila kitu na jioni unahifadhi ka 10k kako asee uko vizuri sana sana.
Hongera sana kwa hilo.
ila kama ni tofauti na hapo mkuuu una safari bado kazana kazana mno,jiongeze weka vi huduma tofauti hapo ofisini kwako wawekee tgo pesa wateja watoe na kuweka,wawekee vocha wakati akinunua vocha ataona ki chupi ataulizia bei,wawekee FRIJI la dsplay linauzwa 500k kale kadogo wawekee maji na juice.
Ongezea pato lako na vibiashara vya kijinga jinga,na kwakua unauza Chupi na Bikini sio mbaya ukienda town ukanunua
Vikuku vya miguuuni na Cheni za kiunoni ukawawekea
Vikuku town wanauza jumla sh 1000 kwa kimoja vizuri mpk 1500-2000,so ukiweka vikuku na cheni hapo aaaha utauza sana mkuuu nakuhakikishia,mwanamke anaevaa bikini huyo hashindwi vaa cheni ya kiunoni,trust me you will make a deal through it.
Weka vi hereni hereni vi pete pete vya urembo aaaaah mkuuuu nasema hiviii usikubali wakuite muuza bikini/chupi duka lako lipe huduma zote zinazoendana na BIDHAA KUU (chupi/bikini)
Utanikumbuka siku 1.
Watu wa humu hawana jema wengi wao wapo kwaajili ya kukatishatamaa wenzaoThanks mkuu ndo Maana nikaja hapa nipate maoni kama napiga hatua au lah lakini naona watu wananibeza tena