Milioni kwa miezi 3, endelea kujipanga. Kwa hesabu ya hapo kama hiyo ni net profit itakusaidia, lakini kama ni gross profit, hakuna kitu, you are on the loss side.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Milioni kwa miezi 3, endelea kujipanga. Kwa hesabu ya hapo kama hiyo ni net profit itakusaidia, lakini kama ni gross profit, hakuna kitu, you are on the loss side.
ThanksMilioni kwa miezi 3, endelea kujipanga. Kwa hesabu ya hapo kama hiyo ni net profit itakusaidia, lakini kama ni gross profit, hakuna kitu, you are on the loss side.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Hongera sna!! Ila ishapita miezi sita sasa tangu uanze hiyo biashara embu tupe updates biashara inaendaje faida imeongezeka kwa kiasi gani na changamoto gani unazipita?? Natanguliza shukraniAsante mkuu
umewaza mbali sana tatizo utumwa wa fkra aibu miogoni mwa vijana kwamba nitaanzajeNoticed
sasa kama una wivu hivyo mkeo akiwa mjamzito akapelekwa hospital si utazimia kabisa kue wanaingizwa mikono mzee wanachunguliwa nyuchi bila huruma,na bahat mbaya kila wodi ya wazazi madaktar wanaume wamejaa kibao.Ni ya kweli nusu, fanya hivi, changanya wauzaji wawe vijana barubaru, both ''me'' na ''ke''
Wake za watu na wanaume umri wa kati watamfuata ''ke'' ili pia kuweka heshima kwa duka lako, ktk jamii uliyopo!
sababu wanaume sisi tuna wivu sana wake zetu kupewa huduma ya chupi na ''me'' eti akuangalie angalie huko chini, weee, atoe tathmini! mara ingia hapo kajipime! mweee!
Inauma waziwazi kwa mwenye mali, kwa muktadha huu, wewe kma mfanya biashara usimsababishie mteja maumivu, ila mteja /mke, yeye hayajui hayo! habari zitakapo fika kwa mwenye mali ndo mtiti!
Eti akuchagulie chupi ya mkeo mweeee! '' hii nzuri, hii new style! ni rahisi hapa mwenyekiti wa serikali za mitaa kukupiga vita uhame,
Unajua Wanawake hawana siri wanasimulianaga sana huko saloon, bombani, vikobani,visimani!nk. utasikia yule kaka jamani mtaalam kweli! alinichagulia chupi nzuriii! mme wangu kazipenda, hapo habari zina sambaa!
Wazee wa rika zote na visichana chipukizi vitahudumiwa na Kijana ''me'' . Visichana vigori vinapenda wavulana wasiojali, kwanza viko mawindoni pia, wala havioni aibu hivi havina wa kumsimulia zaidi ya rafiki zao wenye kuhitaji vyupi km vyao! vinanunua aina hiyo,hiyo rangi moja vyoote!
Duh Mungu atusaidie Kwakweli
Give him credit where it's due.300k kwa mwez, 10k kwa siku..
Kweli kuna watu mnatafuta hela kwa shida sana.
Ungeweka wazi basi ni biashara gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu si vibaya ukatuwekea picha ya dula lako tuone lilivyosheheni huenda likatupa motisha wengine wengi tunaofikiri labda mpaka tuwe na mamilionSiku tisini (90) baada ya kufungua Biashara.
Habari wana JamiiForums, leo nimekuja kwenu kupata maoni kuhusu mwenendo wa biashara yangu hii niliyoianza siku 90 zilizopita.
Nilifikiria kuanza biashara hii baada ya kazi niliyokuwa naifanya kufa. Wakati nafikiria kufungua biashara nilikuwa sina mtaji na sikujua nitaupata wapi lakini niliamua kutafuta wapi wanauza bidhaa hizo kwa jumla ili nikifanikisha kupata pesa nisiangaike kutafuta mzigo unapopatikana.
Badaye niliamua kuuza kiwanja changu kwa shilingi 2,000,000/= baada ya makato ya dalali na wakili (wakili tulichangia na mnunuzi) nikabakiwa na 1.9 ku-cut story short, nilikwenda kununua mzigo baada ya kulipia chumba, nauli, nilifanikiwa kuanza na mzigo wa 900,000+
Baada ya kufungua biashara nilianza kwa taabu maana wanasema mwanzo mgumu, lakini nilipambana nikawa kila shilingi ninayouza naagiza mzigo Dar, hivyo hivyo baada ya siku kadhaa mahitaji ya wateja (wanaoulizia) bidhaa fulani ikawa kubwa ikabidi nitafute sehemu nikope pesa niongezee mtaji nikapata 800,000 nikaongeza mtaji dukani.
Ikumbukwe kwamba hapa dukani sitoi matumizi zaidi ya matumizi ya kulihudumia duka kama umeme, mlinzi nk.
Hivyo mpaka leo siku tisini nimeingiza faida ya 1,092,600/= .
Swali langu kwenu: Je, ninakwenda vizuri na biashara hii au napiga mark time tu?
Kwahiyo kipindi unapiga haya mahesabu, mzigo ulio nao ulikua una thamani gani?Siku tisini (90) baada ya kufungua Biashara.

Siku tisini (90) baada ya kufungua Biashara.

Hahaha ndo ninayoifanya bikini zipo mkuu Karibu View attachment 13091908
Binafsi nimebobea pia kwenye biashara/ ujasiriamali. Pia na MBA (Master of Business Administration).Ili nikupe ushauri, naomba screenshot ya income statement yako.Siku tisini (90) baada ya kufungua Biashara.