🤣🤣🤣🤣 yaani Makufuri mzee! baba! duuu! sasa ya kike au ya kiume? kwangu mimi ukitamka chupi akili inayeyuka inafunika nini vile! Boxer kwani hazimo?
Any way hizo peleka Kyaka kulee utapata hela sana!
Hivi mkuu duka la chupi wanasema akiuza mwanaume atapishana na Wateja ya kweli hayo?
Sent using
Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
Ni ya kweli nusu, fanya hivi, changanya wauzaji wawe vijana barubaru, both ''me'' na ''ke''
Wake za watu na wanaume umri wa kati watamfuata ''ke'' ili pia kuweka heshima kwa duka lako, ktk jamii uliyopo!
sababu wanaume sisi tuna wivu sana wake zetu kupewa huduma ya chupi na ''me'' eti akuangalie angalie huko chini, weee, atoe tathmini! mara ingia hapo kajipime! mweee!
Inauma waziwazi kwa mwenye mali, kwa muktadha huu, wewe kma mfanya biashara usimsababishie mteja maumivu, ila mteja /mke, yeye hayajui hayo! habari zitakapo fika kwa mwenye mali ndo mtiti!
Eti akuchagulie chupi ya mkeo mweeee! '' hii nzuri, hii new style! ni rahisi hapa mwenyekiti wa serikali za mitaa kukupiga vita uhame,
Unajua Wanawake hawana siri wanasimulianaga sana huko saloon, bombani, vikobani,visimani!nk. utasikia yule kaka jamani mtaalam kweli! alinichagulia chupi nzuriii! mme wangu kazipenda, hapo habari zina sambaa!
Wazee wa rika zote na visichana chipukizi vitahudumiwa na Kijana ''me'' . Visichana vigori vinapenda wavulana wasiojali, kwanza viko mawindoni pia, wala havioni aibu hivi havina wa kumsimulia zaidi ya rafiki zao wenye kuhitaji vyupi km vyao! vinanunua aina hiyo,hiyo rangi moja vyoote!