Nimeingiza faida ya 1,092,600 baada ya siku 90 za biashara yangu

Kabla ya kubeza, naomba nikuulize swali kama ifuatavyo...
Wewe hujawahi kupitia wakati mgumu na kuipata shilingi kwa tabu..??

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitumia muda wako kutaka kuwafikiria watu wenye kukatishana tamaa, utashindwa kufikia malengo.

Angalia unataka nini uliza chukua mawazo chanya, songa mbele.
 
Ndogo sana hiyo fungahiyo biashara acha kupoteza mdaa
 
Biashara inatakiwa kwamwezi update milioni kwenda juuchini yahapo hiyo sia biashara ni sodashara... Kuwa mbunifu anyway
Ukiwa na mtaji wa shilingi ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…