APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,715
Biashara yangu ya library ya movies naingiza sio chini 600k kwa mwezi,alafu kuna watu wanadharau library poleni sana300k kwa mwez, 10k kwa siku..
Kweli kuna watu mnatafuta hela kwa shida sana.
Ungeweka wazi basi ni biashara gani?