Nimeingiza faida ya 1,092,600 baada ya siku 90 za biashara yangu

Umethubutu mkuu hata ungekuwa umepata faida chini ya hapo kwa upande wangu ningekupongeza tu wengi tunaplan za biashara pamoja nakuwa na mitaji ila tumekuwa wagumu kuthubutu cha msingi endelea na kile unachoamini you never know siku zijazo unaweza kuwa juu zaidi ya hapo No pain No gain.
 
Mkuu kanda ya ziwa mkoa gan una wateja hivyo...? Mwanza au?
 
Kabla ya kubeza, naomba nikuulize swali kama ifuatavyo...
Wewe hajawahi kupitia wakati mgumu na kuipata shilingi kwa tabu..??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati mwingine kwenye maisha ni bora ukubaliane na hali uliyonayo upate hata hicho kiasi kidogo cha fedha kuliko kukikosa kabsa!

Wanasema bora kitu kuliko kukikosa kabsa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuhusu mkoa mi niko Kanda ya Ziwa na nafanya biashara ya Chupi. nilianza na Chupi na wakati Naendelea nikawa naongeza vitu kidogo kidogo na still Naendelea kupambana nione Duka likifika umri wa mwaka itakuaje
Hongera sana Mkuu. Kuuza chupi zaidi ya tano kwa siku ni mafanikio makubwa sana.
 
Mwanzo mzuri sana. Mkuu nikupongeze.
Ukiweza uwe na biashara kama hizo maeneo hata matatu tofauti. Natumai kwa mwezi utakuwa na uwezo wa kuingiza mil1+
 
Ipi rahisi, kufuata Uganda au Dar?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana Mkuu blessed
 
Asante sana Mkuu blessed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…