Nimeiona hii kwenye Instagram jamaa anamjibu Irene Kilango

Kijana wa Ifoza

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2025
Posts
1,180
Reaction score
2,302
Huyu binti analalamika anasema;
Nawaza sana… je, sisi Gen Z tutafika kweli? 🥹
Kuna wakati nahisi dunia ilikosea kutupokea. Maana kama ingekuwa ni Afrika tu, ningedhani labda ni changamoto ya bara letu — lakini la, ni dunia nzima. 😔

Sisi ndiyo kizazi kinacholelewa na wazazi badala ya sisi kuwalea wazazi 🤔lakini najiuliza, watoto wetu wao watarithi nini?
Hatuna uwezo mzuri wa kufikiri kwa kina, hekima na busara zimepungua sana. 🥲
Ujuzi tuliokuwa tunategemea kutoka kwa wazazi wetu, nao hatuna.
Upambanaji? Ndio kabisa hatuna — tunakata tamaa haraka, tunachoka mapema. 😩

Ni wakati wa kushangaza kuona kwamba kizazi cha millennials kinaonekana bora kiafya na kiakili kuliko sisi.
Na mbaya zaidi, dunia imeshatambua hali hii — tupo kwenye mtego.
Huenda sisi ndio kizazi kitakachokosa wazee wa kijiji… kizazi kisicho na mizizi wala dira. 🥲💔

Ni huzuni, lakini pia ni wito wa kuamka.
Lazima tujibadili, tusipoamka sasa — historia itatusahau.

Nachoka mimi mwenzenu 🥲🙂



 

Attachments

  • Screenshot 2025-11-14 at 14-35-34 Instagram.png
    1.1 MB · Views: 53
Weka uo upuuzi tuone sio kila mtu anatumia io gram
 
Anamsema Lwiva asiyejitambua
 
yuko sahihi vijiji vitakosa wazee wa kijiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…