Nimeipata hii nukuu toka kwa mdau wa Twitter wakati wa Mjadala wa Katiba

Nimeipata hii nukuu toka kwa mdau wa Twitter wakati wa Mjadala wa Katiba

iron finger

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
358
Reaction score
220
Ni maneno yaliyonipa tafakari kubwa sana hasa wakati huu ambao kila sehemu kuna praise team kuanzia Upinzani hadi Chama Tawala ni maneno ya kufikirisha toka kwa mdau huyo akisema.

"Kadiri kelele na shangwe za kusherehekea amani, huku wakila na kunywa ndipo wakati wa uwangamivu ulivyokuwa unawajia taratibu na kwa uhakika. One day akili zitawakaa sawa na mtakuwa mmechelewa. Endeleeni na praise team."
 
Back
Top Bottom