Nimeipenda nyumba Salasala, bei yake 150 million. Nifanyeje niipate?

Ongea na bi tozo akugawie 10% aliyohongwa na waarabu
 
Huu uzi ulikuwa mzuri sema umeharibiwa na watu, kama kungekuwa na utulivu watu wangeteremka na ma idea kibao ya how to raise hiyo pesa na kuipata hiyo nyumba
 
Imani yako itakupatia yote uyatakayo
 
[emoji16][emoji16][emoji16]Nitunukuuu
Kuna jamaa alikua ananifatiliaa, sasa sikua namuelewa, siku hiyo ana nambia "km hunitaki bas nitunuku tuu"
Nlimchambaaa yule Kaka nahisi alijuta kunifahamu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😁😁😄
 
Kwan ukimtunuku bure unapata shida gani mpe apunguze nyeto
Woiiiiiih mie mtu nikimpendaa, mbna hadi kuhonga namuhongaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu navo fall in love sasa, mie nikimpendaa mtu mbna atafurahi, ila akinitibua nasepaa afu sijuagi kurudia nilipopita, uwiiiiiiih
 
Kwan tunamuongelea nani au na ww unajizima data mkurugenzi...?mbna unakua muoga muoga ww[emoji1][emoji16] eti cocastic unamuelewa uyu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaaa, wee ndo umueleweshee, si ndo ana kuhoji au. Woiiiiiiih
 
Woiiiiiih mie mtu nikimpendaa, mbna hadi kuhonga namuhongaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu navo fall in love sasa, mie nikimpendaa mtu mbna atafurahi, ila akinitibua nasepaa afu sijuagi kurudia nilipopita, uwiiiiiiih
Hivi wanakutongoza au wewe ndio unawatoñgoza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…