Nimeipenda nyumba Salasala, bei yake 150 million. Nifanyeje niipate?

Wananzengo wenzangu, sina hata 100, ila nimeipenda nyumba moja Salasala, je niombe dua gani niweze kuinunua?

Nimeikagua ina mita za mraba 1600, bei ni millions 150, Ina bwawa la kuogelea, pia ina bwawa la samaki na sehemu ya kuweka mabanda ya kuku.

Nikiipata aiseee
Mapedeshee wamejaa mjini unangoja nn?
 
Wananzengo wenzangu, sina hata 100, ila nimeipenda nyumba moja Salasala, je niombe dua gani niweze kuinunua?

Nimeikagua ina mita za mraba 1600, bei ni millions 150, Ina bwawa la kuogelea, pia ina bwawa la samaki na sehemu ya kuweka mabanda ya kuku.

Nikiipata aiseee
Weka picha ili tusiuziwe fisi kwenye gunia
 
Wananzengo wenzangu, sina hata 100, ila nimeipenda nyumba moja Salasala, je niombe dua gani niweze kuinunua?

Nimeikagua ina mita za mraba 1600, bei ni millions 150, Ina bwawa la kuogelea, pia ina bwawa la samaki na sehemu ya kuweka mabanda ya kuku.

Nikiipata aiseee
Mpe mzigo mmiliki hasa jicho la shetani
 
Back
Top Bottom