Nimeishi Moshi, Bukoba, Lushoto aisee watanzania tuna ukarimu sana tofauti na tunavyoshambuliana kwa tofauti zetu

Ruble

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
845
Reaction score
1,579
Aisee nimejifunza kitu kimoja kuhusu sisi watanzania baada ya kutembea mikoa tofauti na kuishi huko. Watanzania tunaweza kuwa tunatofautiana na kurushiana maneno mitandaoni juu ya sijui kabila fulani, hivi mkoa fulani hivi..ila kiuhalisia tunaishia kwa upendo sana.

Ok kiufupi, nimezunguka mikoa mingi..nimeishi Kagera aisee ilikua safi majirani na watu walikua na upendo sana japo sikua mwenyeji.

Nimeishi moshi big up sana kuna wajamaa waliiishi na mimi kama mdogo wao na hata kunisaidia naul kurudi Dar nilipokua hali tete braza George Mramba big up popote ulipo ulinisaidia first day kiuaminifu sana kama mdogo wako.

Unakaribishwa chakula tena unalazimishwa aisee watu wa mikoani big up sana ila na kiujumla watz safi sana.

Lushoto nimeishi Lukozi napo ilikuwa safi sana watu walikuwa wakarimu vibaya mno kama wanakujua. Aisee watz sisi safi sana!
 
Bukoba .. Hahah Ngoja kwanza hapo ncheke
Mkuu visa vya mara mojamoja havikosekan ila niamin watanzania ni watu poa sana aisee..mm bukoba nimeishi mpaka kule kyerwa wilaya mpya kipind ndo inaanza watu tu nimekutana nao huko ila daah aisee waliish na mm kama wananijua sana. Fulu upendo na kusaidiwa na watu baki ndo maana nasema watz sisi poa sana. Nimeishi tabora ilikua upendo, nimefika iringa isimani daah acha kabisa kote watu walikua na upendo sana mkuu..mtu mpo dini tofauti na kabila tofauti na ukichukulia we wakuja ila unaishi kama upo tu nyumbani dar.
 
Wewe ni ke au me?
 
Aisee nimejifunza kitu kimoja kuhusu sisi watanzania baada ya kutembea mikoa tofauti na kuishi huko. Watanzania tunaweza kuwa tunatofautiana na kurushiana maneno mitandaoni juu ya sijui kabila fulani, hivi mkoa fulani hivi..ila kiuhalisia tunaishia kwa upendo sana.

Ok kiufupi, nimezunguka mikoa mingi..nimeishi Kagera aisee ilikua safi majirani na watu walikua na upendo sana japo sikua mwenyeji..nimeishi moshi big up sana kuna wajamaa waliiishi na mimi kama mdogo wao na hata kunisaidia naul kurudi dar nilipokua hali tete braza George Mramba big up popote ulipo ulinisaidia first day kiuaminifu sana kama mdogo wako. Unakaribishwa chakula tena unalizimishwa aosee wwtu wa mikoani big up sana ila na kiujumla watz safi sana.

Lushoto nimeishi lukozi napo ilikua safi sana watu walikua wakarimu vibaya mno kama wanakujua. Aisee watz sisi safi sana!
Nadhani hapo kwenye UKARIMU ungeweka UNAFIKI.
 
We ni mchangiaji wa pili au tatu unakataa kuhusu bukoba, vp kunani huko kiongozi?!!!!
Nina mashaka kama wanaocomment washawahi kufika bukoba.
Maana kungekuwa hakukaliki almost asilimia kubwa ya bar zilizoko bukoba mjini za wachaga, maduka ya vyakula ya wachaga na bado watu wanakunywa pombe na kununua kama.kawa.
Wachagga wamejenga bukoba mjini, aliyekuwa anauza bia kwa jumla bkb mjini alikuwa mchaga sina hakika kwa sasa na alikuwa anamiliki bar kubwa hapo.
Watu uwa wanasema wahaya wanaongea kilugha tu, lakini hii nimeiona mikoa mingi.
Kuna kipindi nimekaa kahama full kisukuma.
Ila wasukuma wakarimu sana sana na wachapa kazi.
Mwaka jana nimeenda bukoba vijijini nikashangaa kuan wasukuma wanalima.mpunga maana bukoba hakukuwa na kilimo cha mpunga nikashangaa mashamba ya mpunga.
Tz kokote unaweza kwenda ukaishi fresh tu
 
Naam waasisi wa hili Taifa walifanikiwa kujenga jambo moja nalo ni Utaifa..., Jambo ambalo wachache wanataka kuliondoa..., ukienda pote hata USA kuna kaubaguzi fulani ambako huku kalikuwa hakapo ila kanataka kuja....

Nina mashaka kama wanaocomment washawahi kufika bukoba.
Maana kungekuwa hakukaliki almost asilimia kubwa ya bar zilizoko bukoba mjini za wachaga, maduka ya vyakula ya wachaga na bado watu wanakunywa pombe na kununua kama.kawa.
Wachagga wamejenga bukoba mjini, aliyekuwa anauza bia kwa jumla bkb mjini alikuwa mchaga sina hakika kwa sasa na alikuwa anamiliki bar kubwa hapo.
Watu uwa wanasema wahaya wanaongea kilugha tu, lakini hii nimeiona mikoa mingi.
Kuna kipindi nimekaa kahama full kisukuma.
Ila wasukuma wakarimu sana sana na wachapa kazi.
Mwaka jana nimeenda bukoba vijijini nikashangaa kuan wasukuma wanalima.mpunga maana bukoba hakukuwa na kilimo cha mpunga nikashangaa mashamba ya mpunga.
Tz kokote unaweza kwenda ukaishi fresh tu
Nashukuru sana mkuu umenipigania umewaeleza wadau. Wengine hawajawah kufika wanasema tu. Nimeona omulushaka nimeona vijj vya muleba wasukuma wana mashamba makybwa sna. Ss kama sio wakarimu kwel wangetoa ardhi zao. Watanzania ss maneno mengi humu unaweza kusema watu hawasaidiani kijamii ila kiuhalisia watanzania watu safi sana kwa kweli.
 
Aisee nimejifunza kitu kimoja kuhusu sisi watanzania baada ya kutembea mikoa tofauti na kuishi huko. Watanzania tunaweza kuwa tunatofautiana na kurushiana maneno mitandaoni juu ya sijui kabila fulani, hivi mkoa fulani hivi..ila kiuhalisia tunaishia kwa upendo sana.

Ok kiufupi, nimezunguka mikoa mingi..nimeishi Kagera aisee ilikua safi majirani na watu walikua na upendo sana japo sikua mwenyeji..nimeishi moshi big up sana kuna wajamaa waliiishi na mimi kama mdogo wao na hata kunisaidia naul kurudi dar nilipokua hali tete braza George Mramba big up popote ulipo ulinisaidia first day kiuaminifu sana kama mdogo wako. Unakaribishwa chakula tena unalizimishwa aosee wwtu wa mikoani big up sana ila na kiujumla watz safi sana.

Lushoto nimeishi lukozi napo ilikua safi sana watu walikua wakarimu vibaya mno kama wanakujua. Aisee watz sisi safi sana!
Ebu kajaribu zenji..uje utupe mrejesho..nenda huko vijijini halafu uanze kula mdudu ndio utajua tz hakuna amani bali utulivu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nashukuru sana mkuu umenipigania umewaeleza wadau. Wengine hawajawah kufika wanasema tu. Nimeona omulushaka nimeona vijj vya muleba wasukuma wana mashamba makybwa sna. Ss kama sio wakarimu kwel wangetoa ardhi zao. Watanzania ss maneno mengi humu unaweza kusema watu hawasaidiani kijamii ila kiuhalisia watanzania watu safi sana kwa kweli.
Watu safi watanzania, mimi nimekaa kahama, nmefanya biashara huko mbeya ubaruku, nimekaa kidogo iringa, nna rafiki zangu toka arusha na moshi kama ndugu. Nina rafiki zangu wakurya, aisee ukiwa na rafiki mkurya kama anakukubali jua anakukubali kweli hata kupgana kwa ajili yako anaweza.
Tanzania ni sehemu safi kabisa kokote unaishi. Na saa nyingine wakijua wewe ni mgeni unakuwa mashuhuri kila mtu anakufahamu na kukurefer kwa jina la clan yako. Kama unafanya biashara utaskia, pale duka la flani utapata
 
Back
Top Bottom