Nimeitafuta sana hii hali kwa Mzungu mpaka leo siijaiona ila kwa Mwafrika Mtanzania nakutana nayo kila baada ya Sekunde na Dakika

Nimeitafuta sana hii hali kwa Mzungu mpaka leo siijaiona ila kwa Mwafrika Mtanzania nakutana nayo kila baada ya Sekunde na Dakika

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Sijawahi kuona au kumsikia Mzungu ukikutaka nae sehemu yoyote ile akawa ama anapenda ujue Kiwango chake cha Elimu au awe ' anajifaragua / anaringia ' nayo ila kwa Waafrika hasa Watanzania yaani ukikutana nae tu atataka akuonyeshe Yeye ni Msomi vipi au lazima tu ataanza ' Kutambia ' Elimu yake aliyonayo.

Tofauti hii ya Kimsingi inatokana na nini? Je labda Wazungu ndiyo Mambwigira / Washamba hawajitapi kwa Elimu zao Kubwa walizonazo na pengine labda Sisi Waafrika ( Watanzania ) kwa Kujifaragua / Kujiringishia huko ndiyo tuko sahihi na kwamba ni ' Wajanja ' sana au?

Mwisho nimalizia kwa Kuwaulizeni hivi Elimu na Kupita Ngazi zote za Elimu kisha unakuja ' Kutambia ' Watu Mitaani au Elimu ni ' Tafsiri ' pana mno ambayo kuna Uwezekano mkubwa kwamba labda Waafrika ( Watanzania ) wanaopenda Kujiita Wasomi huenda wakawa hawaijui?

Yaani kuna Wazungu wana Elimu za ' Kutukuka ' kabisa hadi ukiziona CV's zao unaweza ukatamani Kimbunga ' Kenneth ' kije tu haraka kiondoke nawe mpaka Bahari ya Hindi ukafie huko lakini wala hawana ' Mikogo ' na Kwanza hawapendi Kujisifu kwa hizo Elimu zao na pia hawapendi hata Mtu uzijue hali ambayo ni tofauti sana kwa Sisi Waafrika ( Watanzania ) ambapo Mtu akiona hujajua au huijuie Elimu yake basi atafanya hata tu ' Uchokozi ' ili mgombane na mkianza tu Kugombana nae ndiyo utamsikia anaanza Kukushia Vyeti vyake vya Certificate Level, Diploma Level, Degree Level, Masters Level na Doctorate Level na usipokuwa makini atakutajia na hadi nchi zote za Ulaya alizowahi ' Kubahatika ' Kwenda hadi utamkoma.

Nawasilisha.
 
Kwasababu wanajiamini, kuna siku mama mmoja alishangaa hospitali alipoambiwa mtoto wako hawezi kupatoka hapa kwenda hospitali nyingine mpaka barua ya consultant.

Aliambiwa atafika hapa saa sita kwasababu leo anaanzia theatre, ilibidi asubuhi. Consultant alipofika ni bwana mmoja anaemfahamu na watoto wao wanasoma pamoja lakini hakuwahi kufahamu umuhimu wa bwana yule.
 
Sijawahi kuona au kumsikia Mzungu ukikutaka nae sehemu yoyote ile akawa ama anapenda ujue Kiwango chake cha Elimu au awe ' anajifaragua / anaringia ' nayo ila kwa Waafrika hasa Watanzania yaani ukikutana nae tu atataka akuonyeshe Yeye ni Msomi vipi au lazima tu ataanza ' Kutambia ' Elimu yake aliyonayo.

Tofauti hii ya Kimsingi inatokana na nini?

Nawasilisha.
Wewe kilaza hali hiyo hao wazungu waliipitia kipindi Cha mediaval time kwenye historia ya maendeleo yao. Fanya research kwanza ndio uje hapa Shwain
 
Wewe kilaza hali hiyo hao wazungu waliipitia kipindi Cha mediaval time kwenye historia ya maendeleo yao. Fanya research kwanza ndio uje hapa Shwain

Imbecile.
 
Kwahiyo wewe,wazungu ndio umeona ni point of reference to smartness and perfection?

kwani ni lazima anachofanya mzungu kifanywe na jamii zote? yaani mtu akiwa tofauti na afanyavyo mzungu anakua amepotea? au anakua unafanya kitu ambacho sio sahihi?

Umejidharau sana aisee,

Acha kua na fikra za kitumwa.
 
Mimi nimesoma chuo na nina degree yangu na Nina uelewa mpana sana nakaribisha maswali
 
Kwahiyo wewe,wazungu ndio umeona ni point of reference to smartness and perfection?

kwani ni lazima anachofanya mzungu kifanywe na jamii zote? yaani mtu akiwa tofauti na afanyavyo mzungu anakua amepotea? au anakua unafanya kitu ambacho sio sahihi?

Umejidharau sana aisee,

Acha kua na fikra za kitumwa.
Anagongwa na wazungu huyo ndio wanaomuweka mjini
 
Kwahiyo wewe,wazungu ndio umeona ni point of reference to smartness and perfection?

kwani ni lazima anachofanya mzungu kifanywe na jamii zote? yaani mtu akiwa tofauti na afanyavyo mzungu anakua amepotea? au anakua unafanya kitu ambacho sio sahihi?

Umejidharau sana aisee,

Acha kua na fikra za kitumwa.
Rational thinking
Hongera
 
Hako katabia kapo Sana haswa Tz juzi juzi tu nilikuwa naangalia interview ya JK comedian naye alijinadi elimu aliyokuwa nayo
 
Back
Top Bottom