Nimeitafuta sana hii hali kwa Mzungu mpaka leo siijaiona ila kwa Mwafrika Mtanzania nakutana nayo kila baada ya Sekunde na Dakika

Kuna mtukufu amekusudiwa kuwakilisha kundi hilo (Mheshimiwa ...... Dakta ......), ni ugeni tu wa hivi vitu ndo huweka shobo ili kujivika utofauti uchwara.... kuna 'msomi' mmoja alipoukwaa uprofeseri ilikuwa ni kama 'tusi' kuendelea kumwadresi kama dakta.
 
Ukimtambia na kajumba kako ka mkopo yeye akuonyeshe nini sasa.

Sema hivi mnatambiana ukimuonyesha hiki naye akuonyesha kuwa ni zaidi. hasahasa Uswahilini ukiwa injinia huna gari watu wa mtaani, watsema injinia gani huna kigari hata kama hiki?

wanakunywakunywa pombe za kijinga wanajipitisha pitisha na kelele. tabia hii sana iko Kipawa ya Zamani, Mabibo, na Manzese zote, Kwa aziz ally nk
 
Wazungu wanatamadun mbaya na nzur, sisi tunatakiwa tuinge, mazur mengi wanayo
 
Tatizo lako umekutana na wazungu wawili tayari umejumuisha wote. Usipende kujenerolaizi mkuu..
% kubwa wazungu wanajielewa awana majivuno utakuta mzungu mkurugez mkubwa tu, unaweza kumkuta anapiga story na shamba boy wake na shamba boy anaweza akamtuma maji yakunywa mzungu akaenda kumletea
 
Sijawahi kuona au kumsikia Mzungu ukikutaka nae sehemu yoyote ile akawa ama anapenda ujue Kiwango chake cha Elimu au awe ' anajifaragua / anaringia ' nayo ila kwa Waafrika hasa Watanzania yaani ukikutana nae tu atataka akuonyeshe Yeye ni Msomi vipi au lazima tu ataanza ' Kutambia ' Elimu yake aliyonayo.

Tofauti hii ya Kimsingi inatokana na nini? Je labda Wazungu ndiyo Mambwigira / Washamba hawajitapi kwa Elimu zao Kubwa walizonazo na pengine labda Sisi Waafrika ( Watanzania ) kwa Kujifaragua / Kujiringishia huko ndiyo tuko sahihi na kwamba ni ' Wajanja ' sana au?

Mwisho nimalizia kwa Kuwaulizeni hivi Elimu na Kupita Ngazi zote za Elimu kisha unakuja ' Kutambia ' Watu Mitaani au Elimu ni ' Tafsiri ' pana mno ambayo kuna Uwezekano mkubwa kwamba labda Waafrika ( Watanzania ) wanaopenda Kujiita Wasomi huenda wakawa hawaijui?

Yaani kuna Wazungu wana Elimu za ' Kutukuka ' kabisa hadi ukiziona CV's zao unaweza ukatamani Kimbunga ' Kenneth ' kije tu haraka kiondoke nawe mpaka Bahari ya Hindi ukafie huko lakini wala hawana ' Mikogo ' na Kwanza hawapendi Kujisifu kwa hizo Elimu zao na pia hawapendi hata Mtu uzijue hali ambayo ni tofauti sana kwa Sisi Waafrika ( Watanzania ) ambapo Mtu akiona hujajua au huijuie Elimu yake basi atafanya hata tu ' Uchokozi ' ili mgombane na mkianza tu Kugombana nae ndiyo utamsikia anaanza Kukushia Vyeti vyake vya Certificate Level, Diploma Level, Degree Level, Masters Level na Doctorate Level na usipokuwa makini atakutajia na hadi nchi zote za Ulaya alizowahi ' Kubahatika ' Kwenda hadi utamkoma.

Nawasilisha.
Nenda uko uko
 
Toka lile li bahasha lako la kizungu limeacha kukubandua.Unajifaragua kwa hayo mazungu ili upate lingine la kukubandua.

Kenge wewe
 
ww kiumbe sahivi umekua muungwana sana,,yani vitoto vina kutukana vinakukashifu lkn unakua mpole sana,,wakati zamani ungekua ushamshushia mtu matusi yenye rangi tofautitofauti..

Ulishukiwa na roho mtakatifu nn,,,?
Imbecile.
 
Sijawahi kuona au kumsikia Mzungu ukikutaka nae sehemu yoyote ile akawa ama anapenda ujue Kiwango chake cha Elimu au awe ' anajifaragua / anaringia ' nayo ila kwa Waafrika hasa Watanzania yaani ukikutana nae tu atataka akuonyeshe Yeye ni Msomi vipi au lazima tu ataanza ' Kutambia ' Elimu yake aliyonayo.

Tofauti hii ya Kimsingi inatokana na nini? Je labda Wazungu ndiyo Mambwigira / Washamba hawajitapi kwa Elimu zao Kubwa walizonazo na pengine labda Sisi Waafrika ( Watanzania ) kwa Kujifaragua / Kujiringishia huko ndiyo tuko sahihi na kwamba ni ' Wajanja ' sana au?

Mwisho nimalizia kwa Kuwaulizeni hivi Elimu na Kupita Ngazi zote za Elimu kisha unakuja ' Kutambia ' Watu Mitaani au Elimu ni ' Tafsiri ' pana mno ambayo kuna Uwezekano mkubwa kwamba labda Waafrika ( Watanzania ) wanaopenda Kujiita Wasomi huenda wakawa hawaijui?

Yaani kuna Wazungu wana Elimu za ' Kutukuka ' kabisa hadi ukiziona CV's zao unaweza ukatamani Kimbunga ' Kenneth ' kije tu haraka kiondoke nawe mpaka Bahari ya Hindi ukafie huko lakini wala hawana ' Mikogo ' na Kwanza hawapendi Kujisifu kwa hizo Elimu zao na pia hawapendi hata Mtu uzijue hali ambayo ni tofauti sana kwa Sisi Waafrika ( Watanzania ) ambapo Mtu akiona hujajua au huijuie Elimu yake basi atafanya hata tu ' Uchokozi ' ili mgombane na mkianza tu Kugombana nae ndiyo utamsikia anaanza Kukushia Vyeti vyake vya Certificate Level, Diploma Level, Degree Level, Masters Level na Doctorate Level na usipokuwa makini atakutajia na hadi nchi zote za Ulaya alizowahi ' Kubahatika ' Kwenda hadi utamkoma.

Nawasilisha.
Ukweli uwa haupindi. Kama amesoma akimwambia amesoma tatizo nini?
 
Imefkia hatua hata kuchumbia unaulizwa elimu yako, sijui cku hizi kuna stashahada za mapenzi![emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sijawahi kuona au kumsikia Mzungu ukikutaka nae sehemu yoyote ile akawa ama anapenda ujue Kiwango chake cha Elimu au awe ' anajifaragua / anaringia ' nayo ila kwa Waafrika hasa Watanzania yaani ukikutana nae tu atataka akuonyeshe Yeye ni Msomi vipi au lazima tu ataanza ' Kutambia ' Elimu yake aliyonayo.

Tofauti hii ya Kimsingi inatokana na nini? Je labda Wazungu ndiyo Mambwigira / Washamba hawajitapi kwa Elimu zao Kubwa walizonazo na pengine labda Sisi Waafrika ( Watanzania ) kwa Kujifaragua / Kujiringishia huko ndiyo tuko sahihi na kwamba ni ' Wajanja ' sana au?

Mwisho nimalizia kwa Kuwaulizeni hivi Elimu na Kupita Ngazi zote za Elimu kisha unakuja ' Kutambia ' Watu Mitaani au Elimu ni ' Tafsiri ' pana mno ambayo kuna Uwezekano mkubwa kwamba labda Waafrika ( Watanzania ) wanaopenda Kujiita Wasomi huenda wakawa hawaijui?

Yaani kuna Wazungu wana Elimu za ' Kutukuka ' kabisa hadi ukiziona CV's zao unaweza ukatamani Kimbunga ' Kenneth ' kije tu haraka kiondoke nawe mpaka Bahari ya Hindi ukafie huko lakini wala hawana ' Mikogo ' na Kwanza hawapendi Kujisifu kwa hizo Elimu zao na pia hawapendi hata Mtu uzijue hali ambayo ni tofauti sana kwa Sisi Waafrika ( Watanzania ) ambapo Mtu akiona hujajua au huijuie Elimu yake basi atafanya hata tu ' Uchokozi ' ili mgombane na mkianza tu Kugombana nae ndiyo utamsikia anaanza Kukushia Vyeti vyake vya Certificate Level, Diploma Level, Degree Level, Masters Level na Doctorate Level na usipokuwa makini atakutajia na hadi nchi zote za Ulaya alizowahi ' Kubahatika ' Kwenda hadi utamkoma.

Nawasilisha.

Ndiyo maana sisi tukawa Waafrika na wao wakawa Wazungu.--kuna utofauti, na hata tamaduni zetu ni tofauti, wazungu hawaoni aibu kujitambulisha kwamba wao ni mashoga, lakini waafrika hata kama atakuwa ni shoga lakini ni mwiko na aibu kubwa kujitambulisha hadharani.
 
Degree ya Bongo (Msoto wake) haifanani kamwe na degree ya Ulaya...!!

Acha Afrika Watambe..
 
Home kwetu huko ndanindani hawajuagi hata nasoma Nini..maanake miaka Mia 5 Sasa nikienda likizo ndo kwanza wananiuliza umemaliza form for? Nawajibu ndio nasbr majibu..
 
Back
Top Bottom