Nimeitazama video ya Maria Sarungi akizungumza huko Oslo, Norway Kazungumza vizuri tu ila alichofanya sio kitu cha kipekee

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,439
Reaction score
145,410
Nimeitazama video ya Maria Sarungi akizungumza huko Oslo, Norway.

Kazungumza vizuri tu. Ila, sitokuwa kama wengine na kuanza kummwagia sifa tele na kana kwamba alichokifanya ni cha kipekee sana.

Watanzania wengi wamezoea vitu vilivyo chini ya viwango na ndo maana akijitokeza mmoja na kufanya kitu ama jambo lililo juu ya wastani, wanaona kama vile ni maajabu sana.

Maria katoa mhadhara mzuri na kauwasilisha vizuri.

Baada ya kumuangalia na kumsikiliza Maria, moja kwa moja akili yangu ikaenda kwa huyu mwanamama aliyepo ikulu sasa hivi.

Keshawahi kushiriki na kuzungumza lini na wapi kwenye steji ya kimataifa kama Davos, Ted Talks, au Oxford Union [debate] society?

Imagine yuko Davos huko kwenye panel na akina Tony Blair na Bill Clinton 🤣.
 
Huyu mazeri kusoma tu anababaika sasa kufanya presentation kama hiyo aweze wapi.
Hayo mambo kwa marais wetu aliweza Nyerere labda Mkapa kwa mbali
Mkapa was very good! I never felt any sense of embarrassment when he represented us on the international stage.

Apart from losing his cool on HardTalk, more often than not, he acquitted himself very admirably.

He was well read. He knew and understood the issues. He had the vocabulary. He enunciated his words very clearly. He was a policy wonk.

I remember, it must have been late 1995 or early 1996.

Mkapa, Mandela, na wengine nimewasahau, walishiriki kwenye round table discussion huko Algiers, Algeria.

Wote wakaongea kabla ya Mkapa kupewa fursa ya kuongea.

Jamaa alitema madini mpaka Mandela akatikisa kichwa akifurahia jinsi Mkapa alivyoshusha nondo. A mic drop moment.

Nimejaribu sana kutafuta footage ya hayo majadiliano lakini sijafanikiwa bado. Sitachoka kuitafuta.

Kuna baadhi ya mambo nadhani mtu huzaliwa nayo tu.

Malcolm X hakuwa na elimu yoyote ya juu.

Lakini mwaka 1964 alienda kushiriki mdahalo kwenye chuo kikuu cha Oxford kwenye debate society yao.

Jinsi jamaa alivyoshusha nondo, ushiriki wake huo mpaka leo unakumbukwa kuwa ndo moja ya mijadala bora kabisa kuwahi kutokea hapo.
 
Mkapa was very good! I never felt any sense of embarrassment when he represented us on the international stage.

Apart from losing his cool on HardTalk, more often than not, he acquitted himself very admirably.

He was well read. He knew and understood the issues. He had the vocabulary. He enunciated his words very clearly. He was a policy wonk.

I remember, it must have been late 1995 or early 1996.

Mkapa, Mandela, na wengine nimewasahau, walishiriki kwenye round table discussion huko Algiers, Algeria.

Wote wakaongea kabla ya Mkapa kupewa fursa ya kuongea.

Jamaa alitema madini mpaka Mandela akatikisa kichwa akifurahia jinsi Mkapa alivyoshusha nondo.

Kuna baadhi ya mambo nadhani mtu huzaliwa nayo tu.

Malcolm X hakuwa na elimu yoyote ya juu.

Lakini mwaka 1964 alienda kushiriki mdahalo kwenye chuo kikuu cha Oxford kwenye debate society yao.

Jinsi jamaa alivyoshusha nondo, ushiriki wake huo mpaka leo unakumbukwa kuwa ndo moja ya mijadala bora kabisa kuwahi kutokea hapo.

I concur with you Sir, The Late Mkapa was the man of literary
 
"Namuagiza 'aijipii' awashughulikie" walahi
Acha hizo mkuu , yule kenge wetu kule bungeni sijui anatuonaje sisi kenge anaotuwakilisha .
Yaani yule kenge kwa sababu kimakosa tulimtuma akatuwakilishe kule anatuona sisi kenge wa ndani kama sio kenge kama yeye.
Eti anamtuma kabisa IGP adeal na sisi kenge wa ndani ila yeye asiguswe wakati na yeye ni kenge mwenzetu
 
Hivi ni watu gani waliomchagua huyo mbunge?

A blithering idiot.
 
Watanzania wengi wamezoea vitu vilivyo chini ya viwango na ndo maana akijitokeza mmoja na kufanya kitu ama jambo lililo juu ya wastani, wanaona kama vile ni maajabu sana.
Nakubaliana nawe! zamani tulikuwa na viwango vya hali ya juu sana.
Ukimsikiliza Maria akiwa Norway, halafu ukamsikiliza Bi Omar, Mbunge wa Pandani Unguja, na yule Tauhada wa Mjini magharibi-Unguja wakiongea bungeni jana utajua kwanini Maria anaonekana ''superb''

NN uliwahi kuleta 'clip' ya Nyerere akitoa mhadhara Edinburgh Scotland! ile ndiyo std

Hivi wale wabunge….ujue hao ndo lawmakers wetu 🤣.

Hao ndo wanakuwa assigned kwenye kamati za bunge, n.k.

I mean, Maria katoa mhadhara mzuri tu. But nothing exceptional or extraordinary.

Lakini kama ulivyo observe, ukilinganisha viwango unaelewa kwa nini Maria kang’ara huko Oslo!
 
Back
Top Bottom