Nimeitazama video ya Maria Sarungi akizungumza huko Oslo, Norway Kazungumza vizuri tu ila alichofanya sio kitu cha kipekee

Mwanamama wa Ikulu yeye anajua vya kusoma alivyoandikiwa tayari tena vifupi vifupi halafu ashushe na mipasho kwa wingi.
 
Nimeitazama video ya Maria Sarungi akizungumza huko Oslo, Norway.

Kazungumza vizuri tu. Ila, sitokuwa kama wengine na kuanza kummwagia sifa tele na kana kwamba alichokifanya ni cha kipekee sana.

Watanzania wengi wamezoea vitu vilivyo chini ya viwango na ndo maana akijitokeza mmoja na kufanya kitu ama jambo lililo juu ya wastani, wanaona kama vile ni maajabu sana.

Maria katoa mhadhara mzuri na kauwasilisha vizuri.

Baada ya kumuangalia na kumsikiliza Maria, moja kwa moja akili yangu ikaenda kwa huyu mwanamama aliyepo ikulu sasa hivi.

Keshawahi kushiriki na kuzungumza lini na wapi kwenye steji ya kimataifa kama Davos, Ted Talks, au Oxford Union [debate] society?

Imagine yuko Davos huko kwenye panel na akina Tony Blair na Bill Clinton 🤣.
Huwezi kumulinganisha Maria Sarungi na huyo Samia . Tanzania ingekuwa ni nchi inayo zingatia uwezo na utaalamu wa mtu kupata nafasi za uongozi Samia hata uwenyekiti wa kijiji asinge usogelea. Ila kwasababu Tanzania ni nchi inayo Jari mambo ya kujuwana zaidi ndio maana vilaza wengi ni viongozi wakubwa tu.
 
Chura Kiziwi kwenye global stage… That’s a stretch of the imagination!😂
 
🤣🤣

Unajua wakati mwingine huwa nawaza baadhi ya hawa watu wamefika fikaje huko juu kwenye hizo nafasi?

Hebu ona hapa Nyerere akizungumza na waandishi wa habari wa kimataifa huko New Delhi, India!

Confident, authoritative, clarity of thought, etc.

Viwango vimeshuka sana kwa kweli.

View: https://youtu.be/V1iGRuCcrsc?si=koEHAn6AtxKtL8Tt

View: https://youtu.be/pBdbxEUF_ag?si=nOanCquLmPtoLnl5
 
Huwezi kumulinganisha Maria Sarungi na huyo Samia . Tanzania ingekuwa ni nchi inayo zingatia uwezo na utaalamu wa mtu kupata nafasi za uongozi Samia hata uwenyekiti wa kijiji asinge usogelea. Ila kwasababu Tanzania ni nchi inayo Jari mambo ya kujuwana zaidi ndio maana vilaza wengi ni viongozi wakubwa tu.
Hypothetically speaking, endapo Tundu Lisu atashinda uchaguzi wa urais [whenever that is], Maria anafaa kuwa press secretary wa Rais.

Unaonaje?
 
Weka video la sivyo nyamaza, Mkapa alikuwa anajua lugha na smart man na ukiangalia vizuri alijenga taasisi ambazo ndio framework tunazotumia mpaka leo kutuongoza
 
Nimeitazama video ya Maria Sarungi akizungumza huko Oslo, Norway.

Kazungumza vizuri tu. Ila, sitokuwa kama wengine na kuanza kummwagia sifa tele na kana kwamba alichokifanya ni cha kipekee sana.

Watanzania wengi wamezoea vitu vilivyo chini ya viwango na ndo maana akijitokeza mmoja na kufanya kitu ama jambo lililo juu ya wastani, wanaona kama vile ni maajabu sana.

Maria katoa mhadhara mzuri na kauwasilisha vizuri.

Baada ya kumuangalia na kumsikiliza Maria, moja kwa moja akili yangu ikaenda kwa huyu mwanamama aliyepo ikulu sasa hivi.

Keshawahi kushiriki na kuzungumza lini na wapi kwenye steji ya kimataifa kama Davos, Ted Talks, au Oxford Union [debate] society?

Imagine yuko Davos huko kwenye panel na akina Tony Blair na Bill Clinton 🤣.
Alihutubia Bunge na Seneti la Kenya.
Kaenda majukwaa mengi ya kimataifa na katoa speech. Refer Energy Summit
 
🤣🤣

Unajua wakati mwingine huwa nawaza baadhi ya hawa watu wamefika fikaje huko juu kwenye hizo nafasi?

Hebu ona hapa Nyerere akizungumza na waandishi wa habari wa kimataifa huko New Delhi, India!

Confident, authoritative, clarity of thought, etc.

Viwango vimeshuka sana kwa kweli.

View: https://youtu.be/V1iGRuCcrsc?si=koEHAn6AtxKtL8Tt

View: https://youtu.be/pBdbxEUF_ag?si=nOanCquLmPtoLnl5

Hii dunia ya Mungu ni ya ajabu sana. Yaani ina hata good accidents. Bila good accident, there’s no way Chura Kiziwi angekuwa Rais wa nchi hii. Naamini hata yeye asingejaribu kugombea hiyo nafasi.
 
Kuna kitu chakosekana au "missing link" kubwa kati ya mwaka 1961 na 2005.

Baada ya hapo twabahatisha tu na hata tukipatiwa bahati twaipoteza kwa makusudi.

Maria amesoma uzuri tu lakini zaidi ya hapo bado wahitaji kujiongeza na kiongozi yoyote ni lazima kujiongeza.

Nikisema kujiongeza simaanishi kuungaunga elimu yaani tiyari una masters degree lakini bado waenda juu zaidi kupata uelewa wako kisha kutumia IQ na EQ kuweka profile yako sawa.

Ukiwa mtu wa aina ya Maria Sarungi watakiwa kupata pia msaada wa watu mbalimbali ambao wataunda umahiri wako khasa kwenye suala la lugha na maandalizi ya hoja au hotuba mbalimbali. Viongozi wengi duniani hukesha kujiandaa kutoa speech kwani hiyo speech itachambuliwa na kujadiliwa na hadhira au umma.

"Speech" nyingi huitaji maandalizi mazuri na sio kupewa karatasi uisome kama ilivyo.

Msikilize hayati Mkapa alipotoa hotuba yake Havard Kennedy School, Insitute of Politics mwezi September mwaka 1999 na kisha kujibu masuali magumu ya wanafunzi.

View: https://www.youtube.com/watch?v=XN19XsgU9Es
 
Mkapa was very good! I never felt any sense of embarrassment when he represented us on the international stage.

Apart from losing his cool on HardTalk, more often than not, he acquitted himself very admirably.

He was well read. He knew and understood the issues. He had the vocabulary. He enunciated his words very clearly. He was a policy wonk.

I remember, it must have been late 1995 or early 1996.

Mkapa, Mandela, na wengine nimewasahau, walishiriki kwenye round table discussion huko Algiers, Algeria.

Wote wakaongea kabla ya Mkapa kupewa fursa ya kuongea.

Jamaa alitema madini mpaka Mandela akatikisa kichwa akifurahia jinsi Mkapa alivyoshusha nondo. A mic drop moment.

Nimejaribu sana kutafuta footage ya hayo majadiliano lakini sijafanikiwa bado. Sitachoka kuitafuta.

Kuna baadhi ya mambo nadhani mtu huzaliwa nayo tu.

Malcolm X hakuwa na elimu yoyote ya juu.

Lakini mwaka 1964 alienda kushiriki mdahalo kwenye chuo kikuu cha Oxford kwenye debate society yao.

Jinsi jamaa alivyoshusha nondo, ushiriki wake huo mpaka leo unakumbukwa kuwa ndo moja ya mijadala bora kabisa kuwahi kutokea hapo.
Faza ukitulia unashusha nondo sana Big up niliwahi mfatilia Mkapa kwenye mkutano wa Nchi za SADC akiwa mwenyekiti yeye na Rais wa Zambia Chiruba walikua wanatupa madini sana hata wakiwa wanaenda kwenye stage kwa ajili ya kuongea walikua wanapigiwa makofi na Marais wengine..
 
Sasa elimu ya ku unga unga hapa na pale na ka udakitari ka kupewa bi mdashi atawezaje mambo ya presentation kama hizi?
 
Mama ni huo urais tu, ila viwango ni vya chini mnoo...katiba yetu ina shida kubwa, ndio kizuizi cha maendeleo yetu kama taifa!!.
Haishangazi bungeni kujaa tabularasa!.
 
Back
Top Bottom