Nimeitwa interview UDOM lakini sitaenda...

Nimeitwa interview UDOM lakini sitaenda...

Hao ni longlisted, watakaokuwa shortlisted ni watakaopewa kazi
 
aa 9 kwa mia saba .. Aa hata mimi nisingeenda bana.
 
Nakumbuka mwaka jana tuliitwa watu wengi kwenye nafasi za u tutorial assistants watu wengi sana,kumbe tayari nafasi zilikuwa na watu tayari,kilichoniuma ilikuwa ni ile nauli niliyotumia,n by th time nilikuwa cna kazi,udom ptuuuuuuu!!
 
Niliomba kazi ya human resource pale udom, nafasi ni watu 9 lakini tuliokuwa shortlisted eti ni 712, jamani hii ni shortlist kweli au wanataka tukapoteze nauli zetu then mlacha awape kazi wapare wenzie na watu wa kaskazini??? Maana asilimia karibu 70 ya watu walioitwa ni watu wa huko...kwakweli kuliko kupoteza nauli yangu bora nipanue kilimo changu cha nyanya huku kwetu kigoma....inegkuwa wameshort list hata watu 70 afadhali lakini 712 daaaah...otherwise i wish all those who are going the best of luck out there mie siendiiiii

Tena kama unaweza njoo huku Heru Juu - Kasulu ndo mvua zinaanza kunyesha uje nikuongezee na shamba kwa nauli hiyo ambayo unataka kutupa eti unaenda kwenye interview ya kishenzi na Mungu atawaalaani sana hao wanaowazungusha watu ilihali washachukua wa kwao.Bora inekuwa unakaa Dar na interview ni Dar its not bad but KG to Dodoma si mchezo kaka yaani uikate Kidahwe, Kasulu mjini, Makere, mto Malagarasi, Kibondo, Kakonko, Kalenge, Nyakanazi uchukue sasa barabara ya Shinyanga upige Kahama, Nzega,Igunga, Singida mpaka Dodoma halafu eti nafasi ni ya mtu mwingine au ukute interview ni ya kuandika then urudi KG na baada ya wiki 3 wakuite tena kwa ya oral then all over sudden plus huo usumbufu wote ukute nafasi walishwapangia watoto na ndugu zao yaani inamuma sana. Ushauri wangu kweli kama upo KG nafasi za namna hiyo zinazoinvolve written na oral hazikufai, wewe unatakiwa zile za kushoot moja kwa moja ndugu yangu and at the moment just be patient
 
km hauendi sie tufanyaje!? mbna watu mmekuwa wajinga kiasi hichi! eti siendi hayo ni maamuzi yako, sio kila unalofanya unatuletea humu, mwisho utatuambia kuwa kesho utajisaidia njiani!
 
Niliomba kazi ya human resource pale udom, nafasi ni watu 9 lakini tuliokuwa shortlisted eti ni 712, jamani hii ni shortlist kweli au wanataka tukapoteze nauli zetu then mlacha awape kazi wapare wenzie na watu wa kaskazini??? Maana asilimia karibu 70 ya watu walioitwa ni watu wa huko...kwakweli kuliko kupoteza nauli yangu bora nipanue kilimo changu cha nyanya huku kwetu kigoma....inegkuwa wameshort list hata watu 70 afadhali lakini 712 daaaah...otherwise i wish all those who are going the best of luck out there mie siendiiiii

nenda bana mbona wapare hatuna hiyo tabia ya ukanda na ukabila, km madai yako ya kweli uyo jamaa anatuchafua wapare
 
Sijaona point ya kuanzisha thread hii kitu
 
Kila mtu sasa anakula kwa urefu wa kamba yake. Usipoteze muda kaka, kama kweli hiyo ni shortlist basi achana nao. Sijawahi kusikia mahali pengine nafasi moja watu 47!, hiyo ni kwa mujibu wa kanuni ipi ya utumishi?

Kaka inauma sana, nashindwa niseme nini, kwa mtazamo wangu hili nalo lipigiwe kura kama kivutio cha maajabu ya dunia. napita tuu.
 
lakin ikweli jamaa wa udom wana mchezo mchafu sana, mi mshawahi kuitwa intervw mwaka jana augst na u cant blv nina fist class with honour jamaa wakapiga porojo kweli hadi leo. tulikuwa watu kibao sana na waliita nasikia jamaa wachache mno duh sijui jamaa wana tumia vigezo gani maake nilijilaumu nilitumia naulii kibao na kulala nyumba zile wanazofikiaga wabungenhebu jumlisha zote. mkuu acha aseme kweli inaudhi hapo udom kuna biashara mbaya, ya kipuuuzi kama sio wasomi bana, kha inauzi!!
 
usaili ni tarehe 17 saa tatu asubuhi na saa nane mchana kwa walioomba HR NA U-WADERN
 
Kila mtu sasa anakula kwa urefu wa kamba yake. Usipoteze muda kaka, kama kweli hiyo ni shortlist basi achana nao. Sijawahi kusikia mahali pengine nafasi moja watu 47!, hiyo ni kwa mujibu wa kanuni ipi ya utumishi?

kaka umenena kwakweli, cha msingi nisubiri tuu nitapata kazi, ngoja niendelee na ujasiriamali wangu
 
Kwa wale walioitwa UDOM tangazo la usaili wa kuandika wametoa TANGAZO katika Gazeti la Daily News ya LEO na kwenye website yao. Tembelea kijana. Usaili utafanyika pale Humanities and Social sciencies. Majengo ya Mwanzo kabisa baada ya kupita mjengo wao Magamba.
 
Niliomba kazi ya human resource pale udom, nafasi ni watu 9 lakini tuliokuwa shortlisted eti ni 712, jamani hii ni shortlist kweli au wanataka tukapoteze nauli zetu then mlacha awape kazi wapare wenzie na watu wa kaskazini??? Maana asilimia karibu 70 ya watu walioitwa ni watu wa huko...kwakweli kuliko kupoteza nauli yangu bora nipanue kilimo changu cha nyanya huku kwetu kigoma....inegkuwa wameshort list hata watu 70 afadhali lakini 712 daaaah...otherwise i wish all those who are going the best of luck out there mie siendiiiii

Kadiri idadi ya watu ambao hawataenda itakavyokuwa kubwa ndivyo na chance/probability ya wachache watakaoenda kuweza kupata hiyo kazi ni kubwa sana!
Anyway unacho kinachokupatia mlo kwa sasa ndio maana unaweza kuchagua! Ungekuwa juu ya mawe unge hata kopa ili uwe eneo la tukio kujaribu bahati yako!
 
jamani tuwekeane basi hizo link za hayo majina ya walioitwa kwenye usaili huko udom na sisi tupate ona
 
Niliomba kazi ya human
resource pale udom, nafasi ni watu 9 lakini tuliokuwa shortlisted eti ni
712, jamani hii ni shortlist kweli au wanataka tukapoteze nauli zetu
then mlacha awape kazi wapare wenzie na watu wa kaskazini??? Maana
asilimia karibu 70 ya watu walioitwa ni watu wa huko...kwakweli kuliko
kupoteza nauli yangu bora nipanue kilimo changu cha nyanya huku kwetu
kigoma....inegkuwa wameshort list hata watu 70 afadhali lakini 712
daaaah...otherwise i wish all those who are going the best of luck out
there mie siendiiiii

Bora ucje m2 wang na c 2we wachache zaidi ili me niichukue nafac kiurahisi kama nariaaaaaaaaaaaa.
 
usaili ni tarehe 17 saa tatu asubuhi na saa nane mchana kwa walioomba HR NA U-WADERN

Mkuu plse nipe hiyo link yenye details za tarehe na saa,najaribu kufungua inazingua yaani inaniletea list ya majina kwenye excel bila tarehe!na wenilonglist kwenye post mbili nilizoomba,so naitaji kujua kama muda unatofautiana ili nipige zote
 
Back
Top Bottom