Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Nimekuta lori liko hivyo natakiwa nilitoe. Naona kabisa u-jobless ukiendelea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu njoo upate Gari prime fuel, kabisa shusha jack chomoa horse, iwekeni sawa, koa gear,Shusha zile jeki za chini ya trailer chomoa hiyo cabin, ilete mbele sawia na trailer unganisha, mambo safi.
Kwa kweliHapo ndy akili ya kujiajiri itarudi kichwani
Unatoa alafu unaambiwa rudishia ulivyokutaNimekuta lori liko hivyo natakiwa nilitoe. Naona kabisa u-jobless ukiendelea.View attachment 2293246
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwenye Euro Truck Simulator linatoka, ila kwenye uhalisia sijui hata passo.
Huo ndio usaili kwa vitendo baada ya kufaulu wa kuandika, ukifaulu hapo tena unaingia wa kuhojiwa.Hawana nia ya kukupa ajira hao.
Watakutoa nduki balaaShusha zile jeki za chini ya trailer chomoa hiyo cabin, ilete mbele sawia na trailer unganisha, mambo safi.
Ila huo ni kigongo mdogo wangu yaani hapo waeza pagawa aisee.Huo ndio usaili kwa vitendo baada ya kufaulu wa kuandika, ukifaulu hapo tena unaingia wa kuhojiwa.
Ajira za Kibongo bongo tushajizoelea na si ajabu yule mtu wao hata robo ya huo msoto hapitii.Kibaya zaidi unaweza kukuta wana mtu wao mfukoni ila wengine mnasoteshwa ili kuhalalisha process
Huyo hawezi kusota, mnaosota manajikuta hamjaitwa na kubaki kujipa moyo kuwa huenda majina yamewekwa kwenye kanzidata ili baadae nafasi zikipatikana mpangiwe vituo.Ila huo ni kigongo mdogo wangu yaani hapo waeza pagawa aisee.
Ajira za Kibongo bongo tushajizoelea na si ajabu yule mtu wao hata robo ya huo msoto hapitii.