TOa pesa nikuunganishe upite bila kupingwaHabarini,
Majukumu yangu nmeattach hapo chini NAOMBENI msaada wenu nifanikiwe kuvuka hapa usaili ni 26/05/2025
Asanteni.
View attachment 3331685
MUHIMBILI szan kama Kuna pigo hzoTOa pesa nikuunganishe upite bila kupingwa
Oral Moja kwa Moja, post ilizngatia GPA waombaji Naona sio wengiNi written au oral hiyo interview?
Hakuna shido kikubwa ni kujipanga Kila MTU kiupande wake, mkandaj na mkandwajWafanya usaili nao wanakusoma hapa.
AsanteKila la kheri.....jiamini pita pita mitandao usome sample qns...
Ok, anza kupiga msuli wa topic za research kujikumbushiaOral Moja kwa Moja, post ilizngatia GPA waombaji Naona sio wengi
Ziache usinyoeNdevu kama za kwenye profile Yako znaruhusiwa au ninyoe zote au nipunguze tu
Ndevu kama za kwenye profile Yako znaruhusiwa au ninyoe zote au nipunguze tu
Mkuu m sjafanya uhakiki katika uandishi na Simu yangu inafanya word prediction mara nyingi mno ndo maana ukifatilia utaona Kuna sehemu nyingne herufi kubwa na ndogo nachanganyaNasema hivii wewe utafeli usaili, usipoteze muda wako.
Hujui kutofautisha maneno "Accessor" na "Assessors".
Hio nafasi sio kwa ajili yako, achana nayo, fanya mambo mengine.
Mkuu tumetumiwa email szan kama Kuna pdfTuwekee majina yako yote matatu ili tuamini kama ni kweli umeitwa kwenye huo usaili.
Jana saa 4 usku usaili 26/05Umetumiwa saa ngapi na usaili lini aisee