Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
- Thread starter
- #41
Sawa kakaOngeza umakini. Hapa tu umeshindwa kuiandika hiyo post badala ya Assessor umeandika Accessor. Usaili sio kitu kipya wasaili wako wanakusaili kufahamu umakini wako kwenye mambo kama haya.
MNH ni taasisi ya Serikali hakikisha unakuwa nadhifu. Nyoa vizuri toa hayo masharubu. Vaa kama Public Servant, ijue post unayosailiwa kwayo, ijue MNH, kumbuka roles za kazi husika. Nakutakia kila la kheri bwamdogo.